min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,482
- 178,190
Hahaha jukwaa limebakwa mnoBa mnyogode ungeanza kutubless kabla hujapiga ndizi hicho kikongwe chako😂
Mamnyoo😃
Hahaha jukwaa limebakwa mnoBa mnyogode ungeanza kutubless kabla hujapiga ndizi hicho kikongwe chako😂
We bwana hebu tuache mzuri ukifa unaliwa nyama bwanaweee! Uzuri uko machoni pa mtazamaji!😎Unakuta li kiazi kabisa linambiwa ni lizuri 😃 aseee hii si kubali kwenye jukwaa letu pendwa humu😃
Zipo nyumbu mashavu kama puto humu aseeTunyooshe kwa picha😂
Hakuna watu niamini mimi😜Hahaha jukwaa limebakwa mno
Mamnyoo😃
Mashavu yao waachie wenyewe fanya mambo mengine ba mnyogodeZipo nyumbu mashavu kama puto humu asee
😃😃Labda nifeWe bwana hebu tuache mzuri ukifa unaliwa nyama bwanaweee! Uzuri uko machoni pa mtazamaji!😎
unahisi ni yeye?Ila wewe mtoto maini matupu
Hakuna watu niamini mimi😜
Sijuiunahisi ni yeye?
Nimeuona uzi wako pampula acha kunizulia taharuki😂😃😃Labda nife
Noo hawa ni gusa achia nataka niokoe pesa za wanaMashavu yao waachie wenyewe fanya mambo mengine ba mnyogode
Hebu nibless mie bwana😄Nasikitika mno magoigoi wanajiamini kabisa😃
😃😃 Kaa kwa kutulia pampula wanguNimeuona uzi wako pampula acha kunizulia taharuki😂
Hivi unaelewa unachokiandika🤣🤣Noo hawa ******* gusa achia nataka niokoe pesa za wana
Leo kazi ipo leooo😂😂😃😃 Kaa kwa kutulia pampula wangu
Naondoka nisameheni 😃Leo kazi ipo leooo😂😂
Oyaaaa sio poa 🔥
Hebu twende kule naona unanitanganza nna pesa wakati hali yangu inajulikana humu🙆🏽♀️Naondoka nisameheni 😃
Umefanana na Ali kamwe 🔥View attachment 3678439
Nikuite nani!?