cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 119,685
- 195,488
๐๐๐Nimelia sana mdogo wangu ๐๐๐
Raha ya umbea uwaelewe wahusika.
๐๐๐Nimelia sana mdogo wangu ๐๐๐
Raha ya umbea uwaelewe wahusika.
Nakuona unaelekea kuwa km yule mzee anayebwia visungura na nyagu feki๐น๐น๐น
Kwani kuna tatizo kuweka mpodido wangu ukutani ili nikiingia niwe nautazama..!! ๐น
Yani tukiingia tu na shem wako anaanza kudindisha mlangoni awwwww ๐๐๐๐น๐น
Hii idea nimeipata leo sijui shetani ananitaka nini mimi??
Nawaza nna kibikini mshenzy na ki bra maringo halafu pose moja kali, unywele unapepeeya kama mkia wa farasi..!! Hiyo pic itakua kali kinyama..!! ๐น๐น
๐๐๐Pic za kwenye kioo sitaki, nataka zile za kulala na kubinuka..!!
Yani niweke pose la kiuno kipo upande, traco limebinuka binu na shingo inabembea kwa nyuma huku u- hair unapepeeya..!!
Lips zimekolea lip gloss na jicho kungu manga..!!
Nataka pic flani very romantic ๐น
Em mwaga maujuzi mengine mate.. jambo langu lifanikiwe..!!
Sometimes Selfika kuna ujinga mwingi sana๐๐๐คฃ
๐๐๐ unamjua babu miga vizuri akitaka jambo lake? Yule ni mafia alikutana na mwamba hapa.Coca mjanja kwahiyo akahepa ๐คฃ Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.
Kumbe JF kuna watu wana migodi banangeee! ๐๐ปโโ๏ธ
๐๐๐๐Hizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.
Umepatwa na nini? ๐๐๐ Unapenda fujo ngoja Country aje kukuchukua.
Hebu nibless leo tupo wawili tu๐Wewe ndio umeleta hii burudani. Sema Mshana una akili nyingi sana tajiri. ๐
Jamani Babu Miga alinitafutia kazi hapo TCRA, can u imagine hilo jengo naliona pembeni kwa 4yrs nikiwa hapo main campus afu shwaa nanigia mjengoni, ๐๐๐๐Kijana wa makamo, mjomba flani aliyechangamka..!! ๐น
Ana migodi pesa kwake sio za kubeep ni kupiga..!!
Kuna kipindi alimtafutia kazi coca akamwambia wakutane wapumzike rotana..! ๐น๐น
Coca em njoo umpe ubuyu mahi wetu.!.!
Nikikumbuka nacheka sana ๐น๐น
Ngoja coca aje akuchekeshe vituko vya babu miga..!!
๐๐๐ udugu una dhambii wewe.Coca alijua kinachofatia kufotoana akamkwepa ๐น๐น๐น
Coca si mjanja born hiya hiya ๐น
Hapo kwenye migodi sina uhakika lakini kwa maelezo yake..!!
Mi alinitaka nikamkataa akanichamba ๐น๐น
Babu miga anafurahisha kama sio babu yako..!!
๐๐๐Akili mtu wangu! ๐๐๐
Tena alivyokua ananipania. Unaambiwa Selfika nzima aliwapanga anakuja kuwapa full details zangu na ushahidi juu.Babu alikua anamuwinda coca amfotoe alete risiti hapa..!! Coca akashtuka chap ๐น๐น๐น
๐๐๐๐We nawe ukinywaga visungura vyako unakuwaga km kichaa..!! Shida nini?
Mbona unazidi kujivua nguo kila siku?
Aliyekwambia watu wanatafuta watu nani?
Em waeke hapa tuwaulize..!!
Unaimba?Mrembo 1 wakunifanya niikaribishe jpili vizuri. Tafadhari.
Ombi sio dhambi
Mapenzi ni asili yetu mimi na wewe.
Ngono ni tiba ya akili na mwili.
Starehe ni furaha inayoleta amani moyoni.
Hapana. Nihitaji binafsi mkuuUnaimba?
Tupo hapa postini picha zenu za huko mbulu , tunawafuatilia pumbavu sana
Ooh kila la kheri!Hapana. Nihitaji binafsi mkuu
Hebu nibless leo tupo wawili tu๐
Nyie ndio wenyewe!๐We bwana! Mimi mchimba chumvi, bora uniache tuu! ๐