Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani em nishaurini nataka kuchange pic room kwangu, nataka niweke pic naked flani hivi za kwangu mwenyewe..!! 😹😹

Sasa wa kunipiga hizo pics ndo changamoto, sitaki mtu yoyote anipige. Nielekezeni jinsi ya kujifotoa zitoke kali..!! binti kiziwi cocastic wengine wataalmu wa photography njooni hapa mnipe maujuzi..!!

NB: Sio ile chiu kabisaa NO
Ni zile pic flani za vinjunga na top dress zile fupi… lakini za kishetani shetani..!! 😹😹

Leteni maujuzi sasa..!!
Mate bana 😂😂😂😂

Kula kinjunga then piga mirror selfie, Mi mara nyingi napiga picha kwenye kioo sababu sinaga mtu wa kunipiga picha, ila nikienda labda sehemu ya kula namng’ang’ania mhudumu anipige.
 
Pedezee la JF lenye record zake za kuhonga dollar tupu..!! 😹😹

Ana pigo kama PAKA yu no PAKA weyee? 😹
Hiyo code hapo juu 😭 nimetoka kapa walahi.
Huyo anaomba appointment kwa pesa yoyote na ukikutana naye anakutwanga EKOTITE safiii ili kutunza kumbukumbu za hapa JF..!! 😹

Maeneo yake pendwa Morena hotel Msamvu ( Ni muda sasa Morena wamlipe kawatangazia soko) hapo pics za walimbwende wengi wa JF zipo hiyo hotel…

Ni hotel ya kifahari ya kupoa babu migambuti na bebez zake kutoka jiji la JF kitongoji cha selfika..!!

Ana mipira mikali inayoshawishi warembo kujishebedua… ana Bentley, Audi, Rangeeeeeeee, BMW na Benz kama zote..!!

Sasa hivi ana maparody mbalimbali kama……. 😹 siwasanui nitakosa risiti za kucahamgamshia kijiwe..!!
Ilaaaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣

Ana balaaa huyo, ni mbabu au kijana? Na ye dollar za kuhonga warembo anapata wapi katika huu uchumi wa kati wa mama samia.
 
Mate bana 😂😂😂😂

Kula kinjunga then piga mirror selfie, Mi mara nyingi napiga picha kwenye kioo sababu sinaga mtu wa kunipiga picha, ila nikienda labda sehemu ya kula namng’ang’ania mhudumu anipige.
Pic za kwenye kioo sitaki, nataka zile za kulala na kubinuka..!!

Yani niweke pose la kiuno kipo upande, traco limebinuka binu na shingo inabembea kwa nyuma huku u- hair unapepeeya..!!

Lips zimekolea lip gloss na jicho kungu manga..!!

Nataka pic flani very romantic 😹

Em mwaga maujuzi mengine mate.. jambo langu lifanikiwe..!!
 
Hizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.

Umepatwa na nini? 😂😂😂 Unapenda fujo ngoja Country aje kukuchukua.
 
Hiyo code hapo juu 😭 nimetoka kapa walahi.

Ilaaaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣

Ana balaaa huyo, ni mbabu au kijana? Na ye dollar za kuhonga warembo anapata wapi katika huu uchumi wa kati wa mama samia.
Kijana wa makamo, mjomba flani aliyechangamka..!! 😹

Ana migodi pesa kwake sio za kubeep ni kupiga..!!

Kuna kipindi alimtafutia kazi coca akamwambia wakutane wapumzike rotana..! 😹😹

Coca em njoo umpe ubuyu mahi wetu.!.!
Nikikumbuka nacheka sana 😹😹

Ngoja coca aje akuchekeshe vituko vya babu miga..!!
 
Coca mjanja kwahiyo akahepa 🤣 Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.

Kumbe JF kuna watu wana migodi banangeee! 🙆🏻‍♀️
 
Hizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.

Umepatwa na nini? 😂😂😂 Unapenda fujo ngoja Country aje kukuchukua.
😹😹😹 Haki leo sijui nimewaza nini?

Bana toa idea hivyo hivyo jitahidi mate..

Huyo Kantry tapeli tu nimempa kazi ya kunitafutia tajiriii humu anashangaa shangaa… kazi imemshinda..!! 😹
 
Coca mjanja kwahiyo akahepa 🤣 Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.

Kumbe JF kuna watu wana migodi banangeee! 🙆🏻‍♀️
Coca alijua kinachofatia kufotoana akamkwepa 😹😹😹

Coca si mjanja born hiya hiya 😹

Hapo kwenye migodi sina uhakika lakini kwa maelezo yake..!!

Mi alinitaka nikamkataa akanichamba 😹😹

Babu miga anafurahisha kama sio babu yako..!!
 
Back
Top Bottom