Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,493
- 149,719
Watu mnatambo kumbe humu?View attachment 3677882
Friday...
Unaufuatiliaga kama season 😁😁Sometimes Selfika kuna ujinga mwingi sana😂😂🤣
Nilijua ushaachana na jf tayari😁Mimi sio kazi wa hili jikuwaa la selfika ila namtafuta binti kiziwi naskia ndo mitaa yake hii?
Siwezi zilikuwa drama tu zile, jf na mm mpka kiamaNilijua ushaachana na jf tayari😁
Ukawa unajidekeza mwenyewe😁Siwezi zilikuwa drama tu zile, jf na mm mpka kiama
Nilikuwa nafanya matani tuUkawa unajidekeza mwenyewe😁
Jf waongo wengi,nawe humo.
Na Mimi pia🙌💃Admin 🙌🏿🏃🏿😜
Aaah,sitaki kwasababu siamini mtu Wala kitu humu jf🙌Nilikuwa nafanya matani tu
MM SIO MWONGO KASOME NYUZI ZANGU
Ni sawa, ila mm sifagilii uongo hata kidogoAaah,sitaki kwasababu siamini mtu Wala kitu humu jf🙌
Sawa baba.Ni sawa, ila mm sifagilii uongo hata kidogo
Naona ni muda tena kufanya zindiko lingine uzi utulie...Sometimes Selfika kuna ujinga mwingi sana😂😂🤣
Weee si ndo mambo zako hizi sometimes!!! , kiasi kwamba mtu akisoma uzi hawezi amini kama aliyeanzisha ni Mshana.Sometimes Selfika kuna ujinga mwingi sana😂😂🤣
Wewe mzee sitaki movie ninayo😃Niletee Kiko basi mjukuu nikuwekee hiyo movie 🤭🏃🏃
Mwenyewe niko zangu bar saizi sitaki kuharibiwa ulevi!😁Ndo mana mimi nashinda ziwani
Hivi hizi picha unapigaje🤔
Ujinga uendelee tu maana kuna wakati unatusaidia kupunguza wengeWeee si ndo mambo zako hizi sometimes!!! Tena zakichonganishi kabisa, kiasi kwamba mtu akisoma uzi hawezi amini kama aliyeanzisha ni Mshana.
Kama mwenye uzi wake unashaurije?????