Aaah wee em sema kweli? ๐๐Hata jina lako kwangu linanijia ndotoni Kila siku Mamy๐ฅบ
๐๐๐๐๐น๐น๐น Tayana risiti imetumwa hapa kesi yako ngumu..!!
Labda niwape mawakili wenzangu Tonny Kapola Gas Station na spidernyoka wakufanyie cross examination ๐น
๐๐๐๐ kuna nini kwani humu ndani?Msiwe na roho za wivu hata nyie ruksa kupost mikokoteni na punda ๐น๐น
Unataka kushindana mwenzetu unalala wapi?
Unataka kushindana mwilini una rangi mbili ๐น๐น๐น
Unataka kushindana na shepu lako la mchongo..!! ๐น๐น
Unataka kushindana mwenzetu single maza wa watoto watatu na kila mtoto na babaake..!! ๐น๐น
Ila hii taarabu inachekesha sana..!! ๐น
Hivi hua wanawaona machizi wa JF walivyo au mi ndo sielewiiiโฆ!! ๐น
๐๐๐๐Mi nawasapoti shida wanawake wengine wana roho za wivu, chuki na roho mbaya..!!
Sasa mtu kupost gari nayo ni habari kweli miaka hii??
Au mtu kupost pesa zake mwingine unaumia nini??
Mbona wewe unapost pic zako na shape linaonekana tunakupa maua yako.
Ukiona mtu ana kamdomo ka chuchunge afu mjuaji na ana wivu wa kiseee na yeye lazima tumpashe apashike..!!
Makelele kibao kusema wenzie wakati yeye anajisell pm huko tunamchora na taarifa zake tunazo..!!
Nwei, nna shida niongezee mtaji uduguu.
Support ianze sasa hivi..!! ๐
Njoo kwa maslahi mapanaUkaribu wako na boss wako umenitisha..!!
Si kweli kwamba walioshea ndo wanaogombana tu humu kuna ambao hawajashea na wanagombana vile vile hapo shida ninini?????Wanaochochea ni mabwana zao..!!
Mi naona tuanze na wanawake waache kuwavulia nguo wanaume ambao wanajua fika wana wapenzi wao..!! Wawanyime kei, japo najua kwa akili za wanawake wa humu hawawezi..!!
Kuhusu ugomvi chanzo ni wao wenyewe baada ya kushea hizo community mboro ndo wanaanzisha ugomvi na vijembe..!! Hili wewe shahidi.
Hakuna member anayeibuka akaanza kusema fulani anatembea na fulani..!!
Ni hao hao wanawake wanaanza kuyazua, hawataki kuto mbwer wakakaa kimya ni kutambiana tu..!!
Kuhusu kushea, hata bwana mwenyewe SINA sasa wa kushea naye namtoa wapi? ๐น๐น
Em kwanza nipate huyo bwana afu mke mwenza ajitokeze aone mbungi langu..!! ๐น๐น
Ngoja niongee na boss utakubali kulipwa laki kweli๐๐๐๐๐
Fanya kunikonektia namie lamama !
Wapi uko wanalipa malaki kwa maelfuNgoja nipngee na boss utakubali kulipwa laki kweli๐
Bro mambo ya mitandaoni yasikusumbue akili kabisa wala kukutoa kwenye reli, ukiona yanaanza kukuzuzua log out.Naweza kuwa sina ufahamu wa kutosha, hivi mantiki ya kupost picha za hela huwa ninini eti?
Mindset ya miaka ya nyuma sana.!! Useless kabisaUkiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
Wapo wanaolipwa mpaka elfu 50 salimia watu kijana๐Wapi uko wanalipa malaki kwa maelfu
Uwaweke wazi na hao wanaokushobokea halafu wanahisi kuna watu wanakupiku pembeni mara kuwaita wengine malaya, mambo hayaendi hivyo..Bro mambo ya mitandaoni yasikusumbue akili kabisa wala kukutoa kwenye reli, ukiona yanaanza kukuzuzua log out.
Mimi naishi maisha yangu najitegemea kuanzia kuvaa kula na kulala tangu niko 17 years till date nmeishi maisha yote mpaka ambayo huyajui simwogopi mtu yeyote zaidi ya serikali kwaiyo napost nachojisikia popote as long as itโs legal bila kufikiria mtu mwingine yeyote atanichukuliaje maana hana cha kunifanya na haniongezei wala kunipunguzia chochote kwenye maisha yangu.
Nyie ndo wale mkiona mtu anapush agenda yake mtandaoni mnafuata mkumbo mfano ndoa ni ubatili au usioe single maza au oa bikra tu and the likes, bro washa akili and stay on your lane
Nmeamua kuandika ili next time nikipost muache kujiuliza maswali yasio na kichwa wala miguu mnione tu kama limbukeni flani ivi wa maisha asie na ramani yeyote maana pesa zenyewe sina izo picha ndo zinanifariji sasa wewe unaumia nini au unafikiri ntakuibia makoloni yako ๐๐๐
kwani kuna tofauti gani mtu akipost picha ya hela na picha ya kuku mtu mwenyewe humjui unaeza kuta ni kapuku wa kutupwa, na hata akipost we zinakuumiza nini? Mbona picha zingine zinazopostiwa humu huulizi kwann zinapostiwa kumamake.!!
always stay positive minded uone maisha yanavokua rahisi both mtandaoni na kwenye real life. Hata siku moja usiruhusu maisha ya mtandaoni yakuchanganye.
Aww turudi kwenye uzi wetu huu umejaa nuksi tu kila jambo linawakera raia๐ฌ
mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni tena nisiowafahamu.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudiaUwaweke wazi na hao wanaokushobokea halafu wanahisi kuna watu wanakupiku pembeni mara kuwaita wengine malaya, mambo hayaendi hivyo..
Good afternoon!!
Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu๐mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudia
Mi napenda sana utani huku mtandaoni maana ndo sehemu pekee naeza kujiachia kwa uhuru pamoja na kuwa najuana na watu kibao humu niliokwisha fanya nao biashara. Mambo mengine nje ya utani sijui na sina uhakika kama naitaji kuyajua.