Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

HahahHa mbona mimi nipo America kwa sasa na nina enjoy bia na kazi ya pesa nzuri lamo ? Unahisi ni nani anaweza ninyima furaha humu? Tofauti na binti yangu
Mtu aliye America hana pigo kama zako..

Nwei, wewe kuwa America na kuwa na kazi nzuri hayo ni yako hakuna anayejua kama ni kweli au upo kufurahisha kijiwe..!!

Ujumbe ni huo…
Msalimie bintiyo
 
Mtu aliye America hana pigo kama zako..

Nwei, wewe kuwa America na kuwa na kazi nzuri hayo ni yako hakuna anayejua kama ni kweli au upo kufurahisha kijiwe..!!

Ujumbe ni huo…
Msalimie bintiyo
Zimefika 🤣
 
Kwani humu ndani kuna nini? Wanaume kwa wanawake ni mafumbo na Mipasho, km kuna shengesha si mlipue tu, watu tuishi nalo.
😂😂😂😂
Hakuna shengesha lolote ni rasharasha tu na watu kuona hawazingatiwi..!!
 
As salaam Alaykummm
IMG_1069.jpeg
 
Nilichogundua Tatizo la hapa selfika, ni wivu tu! Kuna Makundi makuu mawili kwa upande wa KE.
1. Kundi la kwanza, Mabinti wabichi under 25
2. Kundi la pili ni mashangazi 25+

Under 25 ni Mtama kwa watoto! Kila ME hata wazee sisi tunamendea. Wanapigwa vita na mashangazi 25+

25+ wamegawanyika kWa Makundi 2 ambayo ni mahasimu. 25-29 (ambao kwao sasa ni watafutaji wa ndoa kwa udi na uvumba)! Na kundi la pili ambalo ni 30+ mishangazi (hawa ni sumu katika hili uzi huu) wanapenda ku bully under 30 as if under 30 ndiyo wanawalete mateso wanayokabiliana nayo katika mapenzi! Washakata tamaa ya ndoa na kupata ME wa kuwagungulanya ni shida!

Wanajisahau na wana na mdomo mchafu -kauli za ajabu ajabu, hawana stara wenyewe wanaongea kila linalokuja kichwani. Angalau kwa sasa wanapambana na jamaa (Me…)anayependa kilaji. Anawapa ukweli ingawa kundi hili halipendi kusikia ukweli.

Wanasahau usemi usemao: Ni tunda tu linalotamanisha likiwa komavu, si kwa mwanamke! Mwanamke anapendeza akiwa mbichi. Wanasahau kuwa, enzi zao zimepita, na zikipita hata uende kWa Mganga yupi, yote unajisumbua tu.

Acheni under 25 watambe, ni wakati wao! Wanaotafuta ndoa nao mashangazi, msiwaonee wivu. Wasubiri nao umri ukifika, muwasare tu.

Masingo maza nao nuksi tu ma mwiba kWa Mtama, jamani pambaneni na hali zenu, nani aliwalazimisha kutotoa na ME ambao hawajali pahala walipowekeza? Kabla ya kukubali kupokea ujauzito, mtoto wa kike aliye na akili, anatafakari na kujiridhisha kama hataachwa solemba.

Mmekazana, malaya malaya, nani humu ni bikra au ameliwa na mwanaume mmoja tu maishani mwake? Acheni hizo, K zao na msiwapangie matumizi yake. Kumbuka wanazikosha wao.
Umeanza lini mafumbo? 😹😹

Cocastic unamuelewa shemeji yako?

Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G 😹

Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
 
Umeanza lini mafumbo? 😹😹

Cocastic unamuelewa shemeji yako?

Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G 😹

Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
Samahani kwa gazeti ila sisi tunafurahia kujieleza! Kazi yetu kuandika tu. Ndiyo maana tunaandika Vitabu!
 
Vipi tajiri yangu

mi sina lolote bhana mbwembwe tu, limbukeni wa mwisho af mkorofi kinoma noma ukiniletea pigo sizielewi 😂
Nilijua ulivyo muhansamu utakua mpole, lol kumbe nilikua najidanganya..!! 😹😹😹

Em tupia pic za pesa ili nipate nguvu za kuita wateja waje kununua vijora..!!
 
Samahani kwa gazeti ila sisi tunafurahia kujieleza! Kazi yetu kuandika tu. Ndiyo maana tunaandika Vitabu!
Hapa umefikisha ujumbe kwa mtu uliyemkusudia..!! 😹

Hujanijibu, mi niko kundi lipi hapo?
Maana na mimi muhusika selfika..!!

Kwa single maza sipo, haya kwenye hayo makundi yaliyobaki kipengele kipi nipo? 😹
 
Nilijua ulivyo muhansamu utakua mpole, lol kumbe nilikua najidanganya..!! 😹😹😹

Em tupia pic za pesa ili nipate nguvu za kuita wateja waje kununua vijora..!!
Mimi na uhensam wap na wap sura ya babu mimi 😂

Sina pesa nakwambia untumie buku hutaki, haina noma tajiri
 
Mimi na uhensam wap na wap sura ya babu mimi 😂

Sina pesa nakwambia untumie buku hutaki, haina noma tajiri
Wewe ni hansamu bana tena kijana maji ya kwanza..!!

Mimi kukutumia wewe pesa ni sawa na kutoa maji kwenye kijiko kwenda kujaza baharini..!!

Tajiriiii weka mzigo 😹😹😹
 
Back
Top Bottom