Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika bana dah! 😂😂😂

20260926_121400.png
 
Uwaweke wazi na hao wanaokushobokea halafu wanahisi kuna watu wanakupiku pembeni mara kuwaita wengine malaya, mambo hayaendi hivyo..

Good afternoon!!
mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni tena nisiowafahamu.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudia

Mi napenda sana utani huku mtandaoni maana ndo sehemu pekee naeza kujiachia kwa uhuru pamoja na kuwa najuana na watu kibao humu niliokwisha fanya nao biashara. Mambo mengine nje ya utani sijui na sina uhakika kama naitaji kuyajua.
 
mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudia

Mi napenda sana utani huku mtandaoni maana ndo sehemu pekee naeza kujiachia kwa uhuru pamoja na kuwa najuana na watu kibao humu niliokwisha fanya nao biashara. Mambo mengine nje ya utani sijui na sina uhakika kama naitaji kuyajua.
Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu😎
 
Humu ndani mpunguze kujihisi, acheni watu wachati kwa uhuru, sijawahi kusikia mtu umemzidi anakuwazisha hivi, saa nyingine watu tunajiandikia tu wala hatulengi mtu lakini unashangaa mtu anakuja kama anataka kukupiga! Wengine vita vya kuandika tunachoka, mtafute mtu personally ubabe wako uonekane, vita mpaka upate support.. nilipata malalamiko ya maneno ya kishenzi kweli, ukiomba uthibitisho hupewi! tuchague kuignore upumbavu mwingi mwingi uso na faida, kuna watu humu hata huwafuatilii ila akili zao wanajihisi unawasoma na kuwafuatilia! machokoraa kibao humu halafu mnahisi kuonewa wivu! Mtu akiandika kitu mnajihisi kama matahira! Anayewajali ana kazi kwakweli! Nilipokuwa mgeni nilikuwa najichosha nilipotonywa naonekana mjinga nikaamua kukaa pembeni, ni ujuha wa kiwango kushindana na mtu humjui, kila neno unabebelea ukiambiwa umuelezee adui yako huwezi, Mpaka watu wanashindwa kutumia jf kwa amani wanaondoka kwasababu ya maneno yasio na kweli yoyote! Nyie mabinti sijui wadada acheni kuwapa watu siri zenu, au kumtumia mtu pic zako na hakujui.. matokeo yake mnayaona, acha mtu aendelee kujifariji anakujua, humu penyewe machokoraa ndio wengi kuzidi wenye mwelekeo, ukakazane kujidharirisha kwa watu,kila mtu ana kiwango chake cha uchizi msione watu wamekaa kimya mkahisi mnawaweza! Ukiona mtu anakuignore hataki vita na wewe jiongeze tafuta adui mpya uache huo ufala mara moja! Nimesikitika sana tayana kuondoka kisa uzushi wa watu, sio kila mtu ana mudu maneno na vijembe! Huyu mjinga anayewafanyia wanawake huu ushenzi sio wa kumchekea naona anakutana na wapole! Mna vibarua na hao maadui zenu waliojichoresha kwenu wana kazi aisee..
Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.

Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?

Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? 😡😡😡😡
 
Mkuu mambo ya wanawake achana nayo. Hawajawahi kushaurika kwenye iyo sekta
 
Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.

Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?

Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? 😡😡😡😡
Dahh inaumiza sana mkuu! Poleni kwa wahanga wanaotuma picha za uke uko piemuni, hope watajifunza!
 
Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu😎
Tena aposti mabulungutu ya pesa akiwa kwenye Rolls Royce ili kupandisha presha za wavulana 😂
 
Back
Top Bottom