Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiri leo naona umeamua kujilipua. Itakua kukukumbusha ile Forester umechukia sana Tajiri, sikujua hii miaka miwili kumbe umefanya mabalaa makubwa hivi🙌🙌

binti kiziwi tajiri yetu kumkumbusha Ile Forester itakua amechukia sana. Kumbe alishavuta mindinga mingine ya maana asee
😹😹😹 Basi tu nimeamua kuendana na vibe..!!

Halafu unajua sio mambo zangu kujipost basi kuna kashetani kamenivaa..!!
 
Back
Top Bottom