Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah yaani haka kaeneo huwezi kupita bila kijitwanga fotoo hata kama huna wa kukupiga picha wahudumu kibao tu unaita mmoja mambo safi!
Yani mi ndo msumbufu mpaka wamenizoea 😹😹😹

Kama hiko kiti nitakiwekea kila mkao mpaka kinatamani kuniambia inatosha sasa Lamomy..!!

Halafu pics zenyewe hata sipost nilivyo msumbufu..!! 😹
Naishia kuzitazama mwenyewe..!!
 
Mi muuza vijora tu mabovu bora hata nyie mliolamba ajira, yani kesho najiandaa kukatika na spika langu la sundar kuita wateja..!! 😹😹😹
Mwenetu huo ndio u Boss wenyewe, Mi nikigonga 35 natema ndoano nije huko mnipe connection.

Ngoja tujikusanye kusanye kwanza.
 
Yani mi ndo msumbufu mpaka wamenizoea 😹😹😹

Kama hiko kiti nitakiwekea kila mkao mpaka kinatamani kuniambia inatosha sasa Lamomy..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜©πŸ˜©

Halafu pics zenyewe hata sipost nilivyo msumbufu..!! 😹
Naishia kuzitazama mwenyewe..!!
Na huu ndio uzuri wa maisha, My camera roll ina moments nyingi sana ambazo sijazipost popote, Infact najutia siku niliyoanzaga kupost πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijajua ni kiherehere gani kilinituma.

Maisha yalikuwa mazuri sana chini ya maji. Watu hawajui uko wapi unafanya nini unaishi zako unaenjoy kimya kimya.
 
Mwanaume ndio anachaguliwa, ndio tunapoint.
Nyuki ndio analifuata ua, sio ua linafuata nyuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…