Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,398
- 11,845
Mkuu hebu pekua pekua huko masijala pisi yoyote ambayo haina mwenyewe nibariki nawe ubarikiweUnampenda nani, kuwa muwazi tuone tunakusaidiaje. Hakuna kinachoshindikana
Mkuu hebu pekua pekua huko masijala pisi yoyote ambayo haina mwenyewe nibariki nawe ubarikiweUnampenda nani, kuwa muwazi tuone tunakusaidiaje. Hakuna kinachoshindikana
Au tusubiri tu atakuja akitoka chechi😂Ilete sasa
Pm umefunga namimi yangu nimefunga, leo kazi ipo 🏃🏽
AminaWatu wakipendana ni jambo zuri mkuu
Subiri mwenye fani yake akupambanie kijanaHebu irahisishe isiwe nzito
Nimetulia 🙇🏽♀️Hawa akina mamchungaji ndo wanaongoza kwa ugwadu 🤣 tulia
Utasubiri sana walikuwepo kabla yakoIla cha kukupa headache kipo 😎
Ngoja nitulie nione shiling itadondokea wapi isije ikawa miguuni kwako😀Subiri mwenye fani yake akupambanie kijana
Pm yangu haifunguki, tupia hapa ili wakuone ulivyo pisi ya kwenda na kurudinimekutumia pm
au unataka unione hapa?
Mimi nishawahiwa na wahuni siku nyingi we kaa hapa utulie unaokota na wewe😂Ngoja nitulie nione shiling itadondokea wapi isije ikawa miguuni kwako😀
Duuh na vile mimi ni nice boy sio muhuni nitaopoa kweli humuMimi nishawahiwa na wahuni siku nyingi we kaa hapa utulie unaokota na wewe😂
unaninafkia mwanetu au vipi😎Pm yangu haifunguki, tupia hapa ili wakuone ulivyo pisi ya kwenda na kurudi
Wapo nice gals wenzio utawapataDuuh na vile mimi ni nice boy sio muhuni nitaopoa kweli humu
Sijui kwanini haraka haraka nimewaza kitu 😃😃😃 isije kuwa bro wa kambo ananitaftia yule wa set free😃😃Wapo nice gals wenzio utawapata
Na ndio utakayempata😂Sijui kwanini haraka haraka nimewaza kitu 😃😃😃 isije kuwa bro wa kambo ananitaftia yule wa set free😃😃
Ushindwe pepooohNa ndio utakayempata😂
Akae kwa kutulia sio 😄😄😄Mkuu usipate shaka, huyo tayari ni wako. Sasa hivi yupo busy kidogo subiri kuda SI mrefu atakua free mtaongea
Mtumishi wa MunguUshindwe pepoooh