Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee kuwadi wa mwendokasi naomba niwekee list ya wanaume wale Big five ambao unawafahamu humu wapo smart upstairs na kuna platinum mmoja nataka asikosekane kwenye hiyo list 😍

Nna jambo langu. Mi sitaki kuchaguliwa na mtu nisiyempenda nataka nichague mwenyewe na uhakikishe mpaka nampata huyo member..!! 🥰
Mwanaume ndio anachaguliwa, ndio tunapoint.
Nyuki ndio analifuata ua, sio ua linafuata nyuki
 
1000009198.jpg
 
Back
Top Bottom