Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimepita mate shwaaa! Umechelewa ulikuwa unazurura mafisa 🤣

Afu niliona comment yako kwa chiwawa nilicheka sana nikakumbuka mbali dah mitaa yetu nilikuwa na rafiki mrembo hatari mweusi mrefu kwao huko, mgomvi hatari 🤣
Yani mi na kuzurura humu, Nilikuwa kwenye uzi wa mtibeli na badge yake ya platinum huko anatamba..!!

Aiseee mafisa, chamwino, mji mpya, sabasaba area six vibandani 😹😹😹
Nilikuwa maeneo hayo juzi kati nilicheka sana..!!

Hujamiss mambo club na bwalo 😹
 
Hivi unajua mambo club nasikia ilikuwa ya sabasita baba ake Tunda? 😀😀
 
Back
Top Bottom