Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,240
- 96,539
Yani mi na kuzurura humu, Nilikuwa kwenye uzi wa mtibeli na badge yake ya platinum huko anatamba..!!Nimepita mate shwaaa! Umechelewa ulikuwa unazurura mafisa 🤣
Afu niliona comment yako kwa chiwawa nilicheka sana nikakumbuka mbali dah mitaa yetu nilikuwa na rafiki mrembo hatari mweusi mrefu kwao huko, mgomvi hatari 🤣
Aiseee mafisa, chamwino, mji mpya, sabasaba area six vibandani 😹😹😹
Nilikuwa maeneo hayo juzi kati nilicheka sana..!!
Hujamiss mambo club na bwalo 😹