Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,542
- 34,318
Dooh, sijui ntalalaje sasaππππ sina hata moja
Polee sana lala tu kama siku nyingineDooh, sijui ntalalaje sasa
Nawaonea hadi huruma kwenda kuwachefua, naona kama vile NAMSIMANGA YATIMA ππ€£Nipo hapa natizima na mimi..!!
Ngoja nije kwenye uzi wao tuwachefue πΉ
Aanh mi nishapata mwingine huku naishi nae! Nalea kijusi saa hizi, mtafutie mwingine tuπGen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.
Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.
Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
Umemalizaaππ½ππ½Ukiona mtu anakukalia kooni ujue una kitu na anateseka sana . Iwe kwa kukutungia skendo au vinginevyo
We chino mi ni mzee wa kanisa huku staki skendo niacheπWe nyau wewe!!
Ila we dydyaaa unajaza raia sumu ujueππ«΄πΎNa amebarikiwa sio kidogo toto black blacky mashallaaahhh lips jicho aaaaww!!
Nyoko weweπNa haitokuja!! Hahaha record zinanilinda. Bora umeliambia
cocastic pisi kali.Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.
Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.
Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
Jana nimekesha kuwachefua kwenye uzi wao mpaka nimechelewa kuamka na dada kasafiri na nyumba chafuβ¦!!Nawaonea hadi huruma kwenda kuwachefua, naona kama vile NAMSIMANGA YATIMA ππ€£
Usimfanyie hivo mnywani sera.We chino mi ni mzee wa kanisa huku staki skendo niacheπ
1000%.Una uhakika?? πππ
Dah mzee kwa miss eyes ulinifanyia roho mbaya sana π¬ yule ndo alikua love of my life πππ½ββοΈGen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.