Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,860
- 9,541
Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.Ukashindwa kuchagua upande 😹😹
Sema nilikuelewa bana chino.!!
Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.