Anatuchelewesha ujue πΉπΉπΉUlale unono, kesho uje PM
Badoo, tusubiri anakuja nalo
Kiwake leo weekend uduguu πΉπΉπΉUduguu, unataka kukiwashaa mapema hivii?
Aaah taratibuu ππ
Saka uduguu bongo nyoso πΉπΉNasaka fursaa uduguu, πππ
πΉπΉπΉ Weeh usinambie?!!Tena alikua ni davoo wa trucks za kwenda nje ya nchi.
Kawapiga mnoo, ππ
Taratibu uduguu, usiwe na paparaa, mbona unataka kuunguza sript.πΉπΉπΉπΉ
Halafu mwenyewe hata hajui maskini anajianika wakati tunamjua in and out πΉπΉ
JF ya kingese sana nachoka mimi..!!
Na ana mdomo alitema shit sana kwenye uzi mmoja natamani ajae kwenye mfumo wangu..!!
Yani unamuita huyo jamaa ni pisi ya kwendea...Hawaiombi hivyo..!!
Kwa taarifa yako coca ni pisi ya kwendea hana hata hizo ndevu unazosema. Acha chuki zako..!!
Selfika yako tuone πΉ
πππBabu miga hana kazi mbovu πΉπΉπΉ
Hapana id yangu ingine ni ile ya sikio la muazini ndo nikafungua hySasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?
Babu miga mbona sio shida zake πΉπΉπΉUduguu mbona umechachuka sanaa, kulikoniii.
πππ
πππ Nina vitu vyangu mie, sio huyo.Hapo coca lazima umnase πΉπΉ
πΉπΉπΉπΉHafungui hadi unione mie, na humpati bila mie.
Wee haya, ππ
Si ndioo, atuletee huo ubuyu tuumumunyee.πΉπΉπΉπΉ Nimepitwa pitwa vipi kwa wog tena?
Anataka kuchachua uzi tena? Woyoooooo πΉπΉπΉπΉ
Awahi watunza mafile tukiwepo..!!
πππ noma sanaa.πΉπΉπΉπΉ em nipe hilo bomu nikushikie litakulipukia coca..!!
πΉπΉπΉ G ni mjinga mmoja hivi anajifanya anaplay low key.. yupo mambele kweli lakini ni kitengo Huyo..!!πππ wee muache na heka heka take, afu shem nahisi ananichota hivi yuko mambele kwelii?
Maana sielewi elewii.
πΉπΉπΉ wog kanichekesha hapo kwenye brandWatu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.
Wee huogopiii?
πΉπΉπΉπΉ Atutajie mwenyewe nna hamu nimjue..!!Mtajee huyo anaekula hana kelele, tumpe maua yakee, alooooh
πππ
πΉπΉπΉ Mzuka umepanda uduguuTaratibu uduguu, usiwe na paparaa, mbona unataka kuunguza sript.
πππ
Pisi kweli.Yani unamuita huyo jamaa ni pisi ya kwendea...
Aisee...
πΉπΉπΉπππ Nina vitu vyangu mie, sio huyo.
Analeta nusu nusu ananiboa πΉπΉSi ndioo, atuletee huo ubuyu tuumumunyee.
πππ