Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.

Asilimia 99% humu hatujuani haina haja ya baseless accusations.

Kwanini umchafue mtu ilihali humjui wala hata kuwahi kumuona ? Inafikirisha sana.
Kumuona anaweza akawa amemuona ila kwa nia njema tu ila ukimpa mgongo ndio anashinda pm za watu kuwasimlia anakujua ameshakulomba na bla bla kibao.. naona hajakutana na vichaa hiyo! Atasimlia vzr kummk zake!!
 
Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.

Asilimia 99% humu hatujuani haina haja ya baseless accusations.

Kwanini umchafue mtu ilihali humjui wala hata kuwahi kumuona ? Inafikirisha sana.
Imefika mahali unaogopa kukutana na mtu kisa utaambiwa umelala nae
Yaani mtu mzima ila nashangaa

Mi humu nina mtu 1 tu ndo ananijua ndani nje
Ni mwanaume na nusu ...im proud of him, hana kelele
Yaani jmn anaekula hana kelele mwingine ss kupata time ya kuonana imekuwa nongwa
Si upuuzi na upumbavu hana mbele wala nyuma
 
Kumuona anaweza akawa amemuona ila kwa nia njema tu ila ukimpa mgongo ndio anashinda pm za watu kuwasimlia anakujua ameahakulomba na bla bla kibao.. naonq hajakutana na vichaa hiyo! Atasimlia vzr kummk zake!!
Kwamba humu kuna vijana walio kosa akili kiasi hicho.?

Hata kama uhusiano wa kimwili upo its not worth it kutangaza watu wameoa humu hvyo sio kitu cha ajabu mpaka utangaze.

Mambo ya ajabu sana yapo humu .
 
Kweli kabisa nakubaliana na wewe sema baadhi ya watu hawana uelewa huo ndiyo shida inapoanzia

Watu hatupo sawa, kufikiri, kutenda na namna tunavyotazama mambo. Lakini kujipenda ni pamoja na kuwa halisi, kinyume na hapo hujipendi wala hujithamini. Chagua kuwa halisi kwenye jambo lolote, kwa hali yeyote iwayo.
 
Kwamba humu kuna vijana walio kosa akili kiasi hicho.?

Hata kama uhusiano wa kimwili upo its not worth it kutangaza watu wameoa humu hvyo sio kitu cha ajabu mpaka utangaze.

Mambo yaajabu sana yapo humu .
Wanatangazanaga humu
Moja ya sababu ya kukaa guard zipo juu ni hio

Mwana anapewa papa siku wakitibuana anayamwaga
 
Ni mambo ya ajabu sana haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…