Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 397
- 751
Peak ball knowledge 🔥Mimi pisi kali najua nakutana nazo wapi sina tabu pm maelezo mengi
Peak ball knowledge 🔥Mimi pisi kali najua nakutana nazo wapi sina tabu pm maelezo mengi
Sasa unajielezea nini tena huko aisee🤦🏽♀️Mimi pisi kali najua nakutana nazo wapi sina tabu pm maelezo mengi
Naomba niwe Iniesta au Xavi plz.Unaenda kama Kelvin De bruyne
kwenda uko piem zaman sana nlkua napatumia nadhani kutakua kumebadilika sasaSasa unajielezea nini tena huko aisee🤦🏽♀️
Yupo sanaa mbona, 😂😂😂Kwa hiyo ulikula sana pesa zake? Hufai aisee 😂😂😂
Alipotelea wapi?
Unajikaza ndio uanaume huo🤣Daughter mtu anaweza kukuchekea hapa then ukaenda PM ukarudi huku na machela maana umesha kula za uso kibao.
Huyo si ombaomba anakula za uso kutokana na anachokifuata huko!Muulize yule jamaa anaitwa kahama shy anashuhuda. 😅😅
Ndio kuku ukishanyonyoa inafaa manyonya utupe jirani ajue umekula kwioAlikuwa na majigambo hana siri. Alikuwa anaweka picha hapa hapa
Una hamu na umbeaa jamani!
Kuna id siioni saivi ndo hio ilojiondokea mazimaAlikuwa na majigambo hana siri. Alikuwa anaweka picha hapa hapa
Next week vochaa naanza kuzimwaga 😂😂Walio dhalilishwa ni wengi humu, wapo walio kimbia I'd zao, wengine wakabadili majina kwa muda then wakarudisha,
Ni full heka heka. 😂😂😂
Nsogezeeni shiftUna hamu na umbeaa jamani!
Kuna maombaomba humu hadi wa kiume wapoUnajikaza ndio uanaume huo🤣
Huyo si ombaomba anakula za uso kutokana na anachokifuata huko!
Mbona zilizo wazi nyingi tu hujataka kuwa serious wewe!Wao sasa mimi napita kusambaza upendo tu Pm nmefunga
Yangu ndo nmeifungaMbona zilizo wazi nyingi tu hujataka kuwa serious wewe!
Kivipi?nawaza hapa ID Yako ya mwanzo ni ipi
Naomba niwe kuwadi wako plz, maana ktk taaluma hiyo, ujuzi niliona hata Harvard huukuti.Next week vochaa naanza kuzimwaga 😂😂
Tuma picha bossKivipi?
Duhh watu wenye pesa jamani🙌🏾Alikuwa na majigambo hana siri. Alikuwa anaweka picha hapa hapa
Over hivi ilkua kila weekendNaomba niwe kuwadi wako plz, maana ktk taaluma hiyo, ujuzi niliona hata Harvard huukuti.
Muhimu kamisheni kwangu isome some kimtindo, ama vepee?
😂😂😂
Inabidi niopoe 10/10 moja humu niipeleke Williamsburg, Brooklyn 😂.Unajikaza ndio uanaume huo🤣
Huyo si ombaomba anakula za uso kutokana na anachokifuata huko!