spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,341
- 22,297
Mimi nawajua watu wa humu tupo watu wa aina nying sana mno na kuna kila aina ya mtu humu mind your stepBaba mpaka wale wapinga kristo kumbe wengi wao ni waganga aiseešš¾
Mimi nawajua watu wa humu tupo watu wa aina nying sana mno na kuna kila aina ya mtu humu mind your stepBaba mpaka wale wapinga kristo kumbe wengi wao ni waganga aiseešš¾
Kina infr sio š¤£š¤£Baba mpaka wale wapinga kristo kumbe wengi wao ni waganga aiseešš¾
Psychopaths ndio usipimešš¾Mimi nawajua watu wa humu tupo watu wa aina nying sana mno na kuna kila aina ya mtu humu mind your step
Aaah wapiii, hapanaa.
Wengine wakipigwa ban wanapata had mawazoAaah wapiii, hapanaa.
We muache rafkiangu huyu kuna wapo bwana bwanašš½āāļøKina infr sio š¤£š¤£
Wengine wakipigwa ban wanapata had mawazo
Wengine kutwa kuanzsha nyuz wajulikane au kua na multiple ids
Nlkutana na memba humu huko dongobesh ni chiz fresh nkaja kujua ni mwana jf mwishooniPsychopaths ndio usipimešš¾
Jamani wagonjwa ni wengiš¤¦š½āāļø
Aisee unakaba mpaka penalt
Sekunde 3 baba nafuta!
Haswa kama umeipa nafasiJF ina uraibu mnoo.
Mali mno hioSeran, hebu weka picha japo nikuone moyo wangu utaridhika. Tafadhali bwana!
Kufahamiana sio shida, ila je unafahamiana na nani? Na kwa lengi gani?Haswa kama umeipa nafasi
Wengine had wanahisi kuumwa wasipoingia
Mimi hakuna mtu nayemjua nje ya hapa so i can stay hata mwez na nsifeel kitu zaid ya ombwe la taarifa
Nlkutana na memba humu huko dongobesh ni chiz fresh nkaja kujua ni mwana jf mwishooni
Sheria ya humu unaanza wewe sio kusubiri watuMbona watu hawaselfik...
Mali mno hio
Kwenye hao kujuana na wema ndo unakua vulnerable sasa kukutana na watu jauKufahamiana sio shida, ila je unafahamiana na nani? Na kwa lengi gani?
Wapo watu wema na wamenyooka humu. Nina shuhuda.
Wewe kupita aaanhhSeran, hebu weka picha japo nikuone moyo wangu utaridhika. Tafadhali bwana!