Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sitakagi upuuzi tubishane kwa hoja sio matusi dhihaka na kejeli.. Usinichukie kisa mtazamo... Mimi sikuachi salama lazima nikubanike[emoji35][emoji34]

Jr[emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi shee wale maadui zako huwa mnakwaruzana nje ya jf then wanakuja kumalizia hasira jf au ni kwenye hizi hizi comments za id fake? [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Na weight loss diet zinasaidia kwa mtu kama mimi ambaye sipendi mazoezi,sasa una kuta kuna mtu weight loss diet hawezi na mazoezi hawezi na kula bila mpangilio ndo namba moja,na hana tabia ya ku detoxify mwili magonjwa hayawezi kumuacha salama.
Basi utakuwa una fast metabolism. Thank your genetics for that.

Na kwa kweli mazoezi ya mara kwa mara yanahitaji commitment ya hali ya juu.

Pia lazima mtu uwe ni mpenda kufanya mazoezi. Hicho ndo kitachokupa self-motivation.

💪🏿💪🏿
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nilikuwa najibu kila comment maana nisipojibu naona kama nitakufa na kijiba cha roho khaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nasoma naishia njiani, nikirudi nakukuta umoo, unapovuka balaa!! Hakuna comment inakupita mzee dada!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nilikuwa najibu kila comment maana nisipojibu naona kama nitakufa na kijiba cha roho khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saivi kijiba kilienda wapi eti jamani
 
Back
Top Bottom