Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,547
- 18,261
Tumekusikia Dada,binafsi naanza kujirekebisha.Nimetoka kwenye uzi mmoja, watu wanapovuka balaa kuhusu ndoa!!
Kwenye akili zao wanajiona wanaume ni wasafi saaaana kwenye ndoa zao!! Hivi hao wanawake wanachepuka na miti?!
Hawajui tunavumilia mangapi kwenye haya mahusiano!! Mwanaume akishatendwa anaamua kusimama na kuanza kuchafua taasisi ya ndoa!!!
Kabla hujalalamikia ndoa jitathmini, na wewe ulikuwa msafi kiasi gani?!
Kila mtu afanye venye moyo wake unataka!!
Meamua kuja kutolea nyongo hukuu!!
Habari za jumamosi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata usijichoshe mama, we waangalie tu.
Unawapuuzia tu.Kwa kweli nimeona niwaangalie tu siku hizi nikiwajibu sana ni aya mbili nimemaliza,, mwee Mshana Jr ubarikiwe babaangu kwa kuanzisha huu uzi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mungu akutangulie kwenye mabadiliko yako kaka!Tumekusikia Dada,binafsi naanza kujirekebisha.
Salama kabisaaPoa,za kwako?
Matusi ndio silaha yao, akishajiona hana hoja anamalizia malezi yake mabovu kwako.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kumbe tunahangaika kujibishana na wanawake wenzetu?? Woii halafu katika hayo mabishano siku jaribu kumuambia mmoja wao acha umama au acha mambo ya kike uone hayo matusi utakayoyakoga,, yaani hadi utasahau njia na mimi mtu akishaanza kunijibu hoja kwa matusi huwa ananichefua na kunipandisha hasira kabisaaaaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha[emoji41][emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi ni comments za kupetiana petiana tu [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] sijui wameniroga
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama kabisaa
Na wameshafurahi mnooo!! Huko kwenye uzi memkuta Hornet anapambana nao mwenyewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi umeolewa? maana sio kwa povu lile?
Ulikuwa kiboko ujue!!! Unaandika na ukikomaa na uzi hubandukii!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] like I once used to do,, leo hii naambiwa nimepoa eti watu wamemiss lile jeshi langu la mtu mmoja khaa hapana kwa kweli wanaume wa JF ni vichwa ngumuuuuu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] nimeitwa majina yote sijui feminist sijui activist ila haijanibadili kitu wala
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi ni comments za kupetiana petiana tu [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] sijui wameniroga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]