Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha;

Maana Kuna baadhi ya watoto kua nao sometime hela pia inaweza isifanye kazi!! ni consistency, confidence na akili.

Sasa navyo kupicture inahitaji ustahimilivu sana!! Inawezekana hata jf wengine wapo hata miaka 5 wanakusarindia tu.

Kama Mimi kwa Lamomy mwaka wa 6 huu.
Chino wangu 😍

Mvumilivu hula mbivu ujue…!! 😹
 
Mda wowote katibu wako anaweza ibuka; sijui harufu ya damu hua inamfikia mpaka huko alipo. Haha inabidi nije nimuulize
Kuna mpya gani kwani? 😹😹

Ndiomana roho inaruka ruka kumbe huku tayari.?? Haya kina nani tena wameyabananga??
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.



View: https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
 
Back
Top Bottom