Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

I mean Enzi zako!! Ulikwepa mishale mingi sana!! Ungewaachia vijana wa ovyo! Izo nguo zingekua hazikai kama zinavokaa.

We unakutana nakitoto Cha miaka 19 Kila kitu kimeshafanya kwenye dunia! Imagine kwenye umri wake wa 30 uko.Atakuwaje

Mi sikuhizi naamkiwa na mabinti wengi tu ila Kuna mda naona mbona hawa ni wazee kama Mimi tu ila kihuhalisia ni wadogo sana
😁😁😁
Noma sana, ulo sahihi
Ukweli ni kwamba ngono inazeesha/inachosha hasa imiwa unalala na watu wengi tofauti...sex ni transaction ya energy na mambo mengine ss u can imagine ....
Plus life lilivyo tight unakuta mtu kwa umri huo anakua amechoka tofauti na umri ....
Mungu ametusaidia kwakweli I think pia kua na Uhusiano na mtu 1 kwa muda mrefu inasaidia sn kuto ruka ruka....
Lkn pia kuna muda ku-abstain jmn unakaa zako ht 2,3, 4yrs fresh tu yaani mwili unakaa vzr sn
 
2,3,3 4years! Kwa kizazi hiki!!
Watu wanawaza ngono 24/hrs.
 
I mean Enzi zako!! Ulikwepa mishale mingi sana!! Ungewaachia vijana wa ovyo! Izo nguo zingekua hazikai kama zinavokaa.

We unakutana nakitoto Cha miaka 19 Kila kitu kimeshafanya kwenye dunia! Imagine kwenye umri wake wa 30 uko.Atakuwaje

Mi sikuhizi naamkiwa na mabinti wengi tu ila Kuna mda naona mbona hawa ni wazee kama Mimi tu ila kihuhalisia ni wadogo sana
Mimi sasa naamkiwa hadi sio poaa sijui hizi mvi zizoanza kuota mapema au ndo nimechoka hadi naonekana lohl!!
 
Hahaha! Michambo yakiingereza ipo na ya kiswazi ipo!! anyway watu hua hawataki utilie kabisa.
Hapo nitakua sio wa kawaida sasa!!! Kipindi kile na saii tena mieemiee khakhaa!!

Afu Niliacha hekaheka kitambo mnywani umri ushakimbia!
 
Mimi sasa nanamkiwa hadi sio poaa sijui hizi mvi zizoanza kuota mapema au ndo nimechoka mwili lohl!!
Kuna mda najiangalia mpaka kwenye kioo!! Najiona bado ila Gen z na hasa wa kike!! Ni shikamoo shikamoo na Mimi natikisaga kichwa!! Naona kabisa madogo wanaweka mipaka mapema!
 
Hapo nitakua sio wa kawaida sasa!!! Kipindi kile na saii tena mieemiee khakhaa!!

Afu Niliacha hekaheka kitambo mnywani umri ushakimbia!
Kama ombi la Seran linataka jibiwa!! Si ajawahi ona.

Hahaha nachokupendea ni jino kwa jino! Kuna vitu sio vya kumuachia sir God unamalizana navyo we mwenyewe
 
Back
Top Bottom