Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,816
- 235,993
Jamanisalama shangazi?
Mremboooo wetu Mdhunguuuu🔥🔥🔥🔥
I'm happy to see you🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mzima shangazi?
Jamanisalama shangazi?
Jua limezama.We jamani kwanini hukai huko ukatulia hata lisaa tu watu tupumue🙄
Mkuu
Jamani
Mremboooo wetu Mdhunguuuu🔥🔥🔥🔥
I'm happy to see you🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mzima shangazi?
Miss you More auntie 😍😍😍😍Hahahaa
Nimewamiss🥰🥰
Da ana dk 5 hivi nakushtua😎Hichohicho
Nachambwa jamanii🙆🏽♀️Wewe huyo ndio janjaro kabisa
Toka asubuhi
Sina hamu mimi
Chino kaniharibu kijana wa mjini huyu🤦🏽♀Jua limezama.
Usimuige chino mswahili huyo
Wewe jitofautishe naye kwa kutupia kaselfie.
Labda amekusahau hebu fanya jambo umkumbusheMkuu
Wewe unanijua humu selfika kuwa sinaga mbambamba.
Na wewe unamsikiliza kweli?😂Chino kaniharibu kijana wa mjini huyu🤦🏽♀
Au ni city boy..
Haya wekaSaint Anne ukipitwa basi mpaka kesho tena💃🏽
Dah 😂😂😂😂Labda amekusahau hebu fanya jambo umkumbushe
Nishastaafu vichambo😂😂😂😂😂😂Nachambwa jamanii🙆🏽♀️
Sa ntafanyaje nmekuja mjini juzi🥹Na wewe unamsikiliza kweli?😂
Ningejifungia chumbani nikazira kulaNishastaafu vichambo😂😂😂😂😂😂
Ningekuchamba si ungelia Kabisa
Jina lake tu chinowanananSa ntafanyaje nmekuja mjini juzi🥹
😂😂😂😂😂😂Ningejifungia chumbani nikazira kula
Kabisaa😂
Unaona shetani limeingia!Jina lake tu chinowananan
Huogopi wewe?😂