Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,806
- 91,285
Tulia basiNimeyatimba; maninah.
Ila jf ina vituko, watu wanaumia chini kwa chini hawatoi milio😂
Tulia basiNimeyatimba; maninah.
Mwenye selfika yakeCoca wetu
TajiriiiiUlishatoboa bana we tulia hukohuko, huku ndio kama hivyo
Kutulia ni mpaka ni lione.Tulia basi
Ila jf ina vituko, watu wanaumia chinichini kwa chini hawatoi milio😂
Ombaomba wanaita😂Tajiriiii
Kuwa mpole upate vitu vinono😅Kutulia ni mpaka ni lione.
MI mwenyewe kichwa mpaka kinaniuma!!
Ile Euro ndo imenizidishia headacheKuwa mpole upate vitu vinono😅
Pole sana meza brufen😂
HayaOmbaomba wanaita😂
We jamaa ,upo?Rusha picha mkuu St. Anne
Unapotea sna sikuhiziHello wana selfika, nimewa mic sana, 😘
Umeanza 😁😁Tulia basi
Ila jf ina vituko, watu wanaumia chini kwa chini hawatoi milio😂
Inbox wizoWe jamaa ,upo?
Nimeokota huko mitandaoni usijiumize presha ikapanda la baba😂Ile Euro ndo imenizidishia headache
Umetumia shoka kukata kichwa Cha panzi.
Vizuri na lishwa lini mie?
Leo unakabia sana😂Haya
Tunahitaji na selfie yako Sasa
Muwe mnasema mapema mtachomoka mioyo😂Umeanza 😁😁
Tulia ni kweli tunaumia sana tu sbb tuliwaamini watu ambao hawakua wa kuwaamini
😁😁😁😁😁Muwe mnasema mapema mtachomoka mioyo😂
Kidogo umetufariji!Nimeokota huko mitandaoni usijiumize presha ikapanda la baba😂
Mweee🙄Kidogo umetufariji!
Walau tumepoa kidogo.
Roho zilikua juu juu sana.
Famasiala nini! Tunataka hali zifanane