Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,661
- 184,067
Watu mmebarikiwa miili midogodogo mizuri jamani kila nguo saizi yenu inawafit vizuri !! Pendeza sana mamchuKesho kanisani jmn
Tujiandae...
Watu mmebarikiwa miili midogodogo mizuri jamani kila nguo saizi yenu inawafit vizuri !! Pendeza sana mamchuKesho kanisani jmn
Tujiandae...
Nichukie kisa nini ???? Si umenikumbusha kumtag !!Najua huwezi kuchukia
🤝🤝🤝Watu mmebarikiwa miili midogodogo mizuri jamani kila nguo saizi yenu inawafit vizuri !! Pendeza sana mamchu
sawa my usihofuNichukie kisa nini ???? Si umenikumbusha kumtag !!
My tena!!!! Haya selfika sasa tunatakiwa kuchat na pichasawa my usihofu
Usipate shida hiyo profile pic ni yeye
Hahaha
Kabiiiiiiisa kumbe we legend unajua! Sante sanaUsiziamini sana avatar za JF! 😊
nipe no ya WhatsApp nikutumieMy tena!! Haya selfika sasa tunatakiwa kuchat na picha
Acha bange dogonipe no ya WhatsApp nikutumie
wewe mshangazi vipi acha ushamba njoo pm nikupe vitu adimuAcha bange dogo
Ausio!!wewe mshangazi vipi acha ushamba njoo pm nikupe vitu adimu
njoo uchukue shekeli uje geto upate mapigo ya papi mananasiAusio!!
Alikamwe;
Nasikia harufu ya damuAcha bange dogo
🤪🤪🤪😁Anaekuvesha ni nani ni Lamomy
Uligoma kuchakazwaa!!🤪🤪🤪😁
Na nani tena chino??Uligoma kuchakazwaa!!
I mean Enzi zako!! Ulikwepa mishale mingi sana!! Ungewaachia vijana wa ovyo! Izo nguo zingekua hazikai kama zinavokaa.Na nani tena chino??
😁😁
Mda wowote katibu wako anaweza ibuka; sijui harufu ya damu hua inamfikia mpaka huko alipo. Haha inabidi nije nimuulizeNa nani tena chino??
😁😁