Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,475
- 203,119
😂😂😂😂 oya emu wacha hizo, sasa nalipataje mimi?
😂😂😂😂 oya emu wacha hizo, sasa nalipataje mimi?
Hapa chat tu, picha nenda Facebook hukoPicha na chat
Weeeeeeee ,unatumia facebook ndiyo maaaaaanaHapa chat tu, picha nenda Facebook huko
Hivi mbeya ile shule ya meta ipo au ilihama
Utatuma kwa bus
Unalala sana
Baba J 🖖🖖
🖖🖖
Nimetoka kumwambia mtu kwamba hapa watu wanabishana na baba zao bila kujua.Sijadharau mahali, sikuwa najua kuna vijana wana 18-22yo humu. Sasa naelewa.



kama ukiwa sober tu unakuwa hivi siku ukilewa sijui itakuwaje 


Ilihama, iko Dodoma sasahivi.



kama hajakujibu na majengo yake sijui,, ngoja niendelee kutiririka na comments
Hahaahahaha aisehhhh imehama jina au na majengo yake