Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,618
- 3,744
Hahaahahaha aisehhhh imehama jina au na majengo yakeIlihama, iko Dodoma sasahivi.
Unakumbuka zile moka tulikua tunaziita 4 angle
Unakumbuka zile moka tulikua tunaziita 4 angle
Na majengo.Hahaahahaha aisehhhh imehama jina au na majengo yake
Na majengo.Hahaahahaha aisehhhh imehama jina au na majengo yake
Wewe walikuacha nyumaNa majengo.
Naomba raba.
Dada zetu ndiyo wana swaga za kukunja 4,unajua kwanini
[emoji41] Mabaharia wa subaru, mnahitajika kwenye kikaoView attachment 1290475
Ilihama, iko Dodoma sasahivi.
Nice shoes
Bado picha moja upate five stars
Yanafaa sana hayo maji kwenye usafiri kama huu, hamna kuwaza mambo ya kuchimba dawa [emoji23][emoji108]
Sent from my iPhone using JamiiForums