Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maji ya kunywa?????

Ifikie hatua Mimi niache kula mimi navopenda kula??☺

šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„
Yes , water therapy huijui??
Peke yake unapungua
Ila ya kawaida kabisa ya kunywa yasiwe ya moto tumia kabla hujala

Imagine asbuhi unywe maji ...unadhani utakua na hamu ya chai???utakula lkn muda unavyoendq utapunguza kula
 
Asante sana nilisikia hio sikuzingatiaga sana kumbe. Ndizi nakula katika mpangilio upi??

Yani ile hali ya jana sitaki hata kuisikia ilikuwa hatari sana.

Hebu nibless uvonenepa nione wengine mnanenepaga vizuri mimi sasa najaa juu na kitambi tu kha!!
Baada ya mazoezi usinywe maji kwanza utakufa kwa hiyo njaa yakešŸ˜‚ kula kwanza ndizi irudishe nguvu then baada ya muda kidogo ndio unywe hayo maji yako..

My dear huwa nanenepa kuanzia kichwa mpaka miguušŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Yes , water therapy huijui??
Peke yake unapungua
Ila ya kawaida kabisa ya kunywa yasiwe ya moto tumia kabla hujala

Imagine asbuhi unywe maji ...unadhani utakua na hamu ya chai???utakula lkn muda unavyoendq utapunguza kula
Naijulia wapi lasabaD mie mamchu
Asante kwa mwongozo!!
 
Baada ya mazoezi usinywe maji kwanza utakufa kwa hiyo njaa yakešŸ˜‚ kula kwanza ndizi irudishe nguvu then baada ya muda kidogo ndio unywe hayo maji yako..

My dear huwa nanenepa kuanzia kichwa mpaka miguušŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Km anafanya na mazoezi kazi kwake
Mi sijawahi fanya mazoezišŸ˜†
Sahivi nimejiachia nifike 75
 
Back
Top Bottom