Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiomaanake! Kwanza mie muda wote nimechoka😌

Yaliwahi kukukuta kwa wife sio😂
Si Bora hata awe mke!!

Toto mmoja la kimmanyema!
Pamoja najitihada zangu zote ndo kwanza yeye kama anaanza.

Siku iyo nilitoa sababu za kutosha!
Mara Kuna vitu vina ni confuse oficini.
 
Si Bora hata awe mke!!

Toto mmoja la kimmanyema!
Pamoja najitihada zangu zote ndo kwanza yeye kama anaanza.

Siku iyo nilitoa sababu za kutosha!
Mara Kuna vitu vina ni confuse oficini.
Safi! Hata mimi nataka niwe hivyo😎

Ukinigusa tu, napiga ukunga mjomba kameza shoka🤣
 
Km anafanya na mazoezi kazi kwake
Mi sijawahi fanya mazoezi😆
Sahivi nimejiachia nifike 75
Mie nna 85…
Ila kuna method huwa natumia nikitaka kupungua ni chap tu..

Asubuhi mazoezi ya ku stretch mwili kwa 15min zinanitosha baada ya hapo shots moja ya ginger+turmeric fresh.. naweka na asali kidogo tu..

Nikioga nikimaliza maji yangu nusu lita au karibia lita ndio naenda mihangaikoni…
Mchana nahakikisha nimekunywa 1ltr ya maji hapo nakula ndizi moja baadae nakula chakula kawaida tu au chochote nachotaka

KULA MWISHO SAA 11:30 jioni!! Baada ya hapo ni mwendo wa maji mpaka nalala..
Nikifanya hivyo wiki 4 tu napinguza kilo za kutosha..

Yani in short nakula mchana tu.. masaa mengine yanakua water fasting
 
Si Bora hata awe mke!!

Toto mmoja la kimmanyema!
Pamoja najitihada zangu zote ndo kwanza yeye kama anaanza.

Siku iyo nilitoa sababu za kutosha!
Mara Kuna vitu vina ni confuse oficini.
😄😄😄😄😄😄😄😄!

Uliingia ulingoni kizembe mnywani kuna wenye wanafiaga vifuani mwa wanawake ujueee hahah
 
Back
Top Bottom