Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante kwa mwongozo mamchu! Am trying ntaleta mrejesho
Unajua maji tu peke yake unaweza oungua vzr sn
Asbh lita 1, mchana lita 1 na jioni lita 1
Unakunywa saa 1 kabla ya kula
Yaani ni unapungua vzr sn bila stress
Coz automatically hutatumia soda , juice utajikuta unaacha ht chai baada ya muda utaacha

Seran
 
Maji ya kunywa?????

Ifikie hatua Mimi niache kula mimi navopenda kula??☺

😄😄😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom