Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!

Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐
Itakusaidia hii
Screenshot_20260903-112413_1.jpg
 
It's Thursday tbt za kutosha Leo hata usijali utapata za kutosha.

Siunajua chino hajawahi kukupinga
Ni huyu mtoto Seran tu ndo aninipinga namuambia usiliphnguze yeye anataka alitoe kabisa! Ana lengo gani huyu
Santo sana mnywani am waiting.
Haha haliwezi isha mnywani tunapunguza nyamauzembe na vitampi walai miili imejaa kama viboko hii ni hatari sana kwa afya☺
 
Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!

Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐
Siku nyingine kula ndizi mbivu😁

Ila mnanihamasisha nianze mazoezi… nimekua kibonge
 
Back
Top Bottom