Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!

Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani šŸ‘šŸ‘šŸ‘
 

Attachments

  • 20260903_104730.jpg
    20260903_104730.jpg
    311 KB · Views: 2
Back
Top Bottom