Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!

Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐
Seran ☝️
 
Hongera mimi nimeamua kushinda njaa kazini🥹
Weeee usishinde njaa ile totally punguza chakula mdogo mdogo..mi hapa leo asubuhi ndo nilikunywa majimoto yenye asali saii nimemaliza kunywa chai nameza hizo punje za vitunguu saumu
Na chakula pia nimepunguza nakula kidogo tu
Weeh jana nusura nizimie kwa njaa
 
Kula huwa sili sana, asubuhi nmekunywa chai ya karafuu, sausage na mayai, hapa lunch na skip mpaka jionii😎
 
Weeee usishinde njaa ile totally punguza chakula mdogo mdogo..mi hapa leo asubuhi ndo nilikunywa majimoto yenye asali saii nimemaliza kunywa chai nameza hizo punje za vitunguu saumu
Na chakula pia nimepunguza nakula kidogo tu
Weeh jana nusura nizimie kwa njaa
Pia niliwai kusoma sehemu kua Apple/tufaa huwa ni zuri linasaidia kwa mtu ambaye anakaa njaa muda mrefu
 
Miss you more mnywanii kimya sanaa!
Am happy to see you trena mnywani fanya jambo kusindikiza chai yanguu
It's Thursday tbt za kutosha Leo hata usijali utapata za kutosha.

Siunajua chino hajawahi kukupinga
Ni huyu mtoto Seran tu ndo aninipinga namuambia usilipunguze yeye anataka alitoe kabisa! Ana lengo gani huyu
 
Back
Top Bottom