Daah weekend hii nimepoa sana kuna mtu nimemkorofisha jana usiku kanisachi kakuta zana zimebaki 2, nnaamka asubhi simuoni kabeba funguo za gari, wallet, card za bank, vitambulisho, fedha za dharura na mtoto katokomea kwao ukisikia kizaa zaa ndio hiki [emoji1634]
Embu nishaurini wadau View attachment 1291584
Yangu hakuna sasa[emoji134][emoji134]
Binti[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa pale mjini maeneo ya Kilakala au Sua au Forest ndio kuzuri kuishi kama mimi ukiniambia nichague mahali pa kuishi au huku kwa mafather kama unaingia ingia Moro ukitokea Dar
Unishtue siku unaenda mpanda treni
Ndio hii huyo kaka ni mkenya
Yangu hakuna sasa[emoji134][emoji134]
Daah kweli itabidi siku moja nitembee maana Morogoro naishiaga Msamvu tu pale,, japo pia nimeshatembelea mbuga ya Mikumi, bwawa la Kidatu, mashamba ya Kilombero na kupanda milima ya Udzungwa.. kwa mjini nina mpango wa kuanzia Kihonda nina rafiki yangu anaishi kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli na uzee huu unaniita binti[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ipi hiyo?
Mmmmh!!Kihonda sasa hivi ni kama imekuwa uswazi...niliishi hapo kidogo mwaka 93..wakati huo paliitwa nje ya mji...(ni kama hapo Mbeya uwe waishi Inyala au Songwe hivi)
Mjini wakati huo ilikuwa kule Boma
Ndio hii huyo kaka ni mkenya
Kwa mkuu umekufwa maana jamaa kafariki.😀 ndio mimi naitwa njugush
Waguna nini?Mmmmh!!
Moro nimeishi km mwaka hivi pale Shamba Street ,ofisi Madaraka roadDaah kweli itabidi siku moja nitembee maana Morogoro naishiaga Msamvu tu pale,, japo pia nimeshatembelea mbuga ya Mikumi, bwawa la Kidatu, mashamba ya Kilombero na kupanda milima ya Udzungwa.. kwa mjini nina mpango wa kuanzia Kihonda nina rafiki yangu anaishi kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mkuu umekufwa maana jamaa kafariki.