Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aiseee,, basi wakazi wa Kihonda wanavyojimwambafy unaweza dhani ni kama Mbezi Beach kwa Dar..
Kihonda sasa hivi ni kama imekuwa uswazi...niliishi hapo kidogo mwaka 93..wakati huo paliitwa nje ya mji...(ni kama hapo Mbeya uwe waishi Inyala au Songwe hivi)

Mjini wakati huo ilikuwa kule Boma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom