Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,749
- 109,842
Hahah naam na mazingaombwe kwa sana...baada ya hapo mnaenda magunia kumcheki Tigana (R.I.P)Kwa wamakonde walipokuwa wanacheza kamali.
Hahah naam na mazingaombwe kwa sana...baada ya hapo mnaenda magunia kumcheki Tigana (R.I.P)Kwa wamakonde walipokuwa wanacheza kamali.
Nipo zangu geto, leo sjatoka, mvua kubwa sana na baridi kali, nikaamua nipike hivi, karibuni wanadauView attachment 1291431View attachment 1291432View attachment 1291433View attachment 1291434
Sent using Jamii Forums mobile app
You guys are blessed...
Wataka ona nini [emoji73][emoji4]Hivi ni nini kunifanya nichungulie eti
You guys are blessed...
Chenye umecrop my [emoji1780]Wataka ona nini [emoji73][emoji4]
Hahahahaha mkuu huku niliko nakua sina time ya kupika ila leo hakutokeki ndio maana nikaamua kupika hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Moro ni pazuri mno , nilikuja 2016 mara ya kwanza nilipapenda mno nikapania niishi huku .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh huu uzi upo double?
Sijakuelewa mpendwa nimeweka picha ya......😀 umeweka picha
Halafu wewe ndio mwanzilishi...Labda wamekuona unatoa koment nyingi sana kule wameamua kukuzawadia kabisaaaa uzi mzima🤣🤣🤣
Sijakuelewa mpendwa nimeweka picha ya......
Mpendwa naweka sana ya leo ni ya 10 kuweka.“Leo umeweka picha” ndio nlivyomaanisha
Mpendwa naweka sana ya leo ni ya 10 kuweka.
Anza mwanzo mwa uzi utanziona mpendwaMbona sizionagi
Ndioo
Anza mwanzo mwa uzi utanziona mpendwa