Mtu ngapi hapa mzee wa connection
Aisehhhhhhhhhhhhhhh ndiyo nini sasa kunifanya nisikie njaa,kumbe ni mpishi hodari
#TheSunSet
Maandazi Road...dah wayback wakati wa ukuta wa sinema ule wa DriveInn nilikuwa naenda sana hapo kutazama ndondoNimekumbuka kombe la mbuzi msasani magunia enzi hizo.
Mzee baba kuna mazingira unatamani uwe ukiamka hiyo ndio view ya kwanza unaona...Mkuu nakuona barozi wa nyumba kumi unataka kufanya fujo




Piga picha tuma nyumbani wazazi waone, maana leo nimetoka chicha mpaka tembele akasome/View attachment 1291338
It's Scars
Hhahaahha kweli vidole havifanani urefuMzee baba kuna mazingira unatamani uwe ukiamka hiyo ndio view ya kwanza unaona...
Sasa huku kwa Mtogole unaanza kutana na kitu cha net kwanza, halafu baada ya hapo misuruali na mishati imening'inizwa kwenye misumari
Wanaume tunapika sana siku hizi hivi tutaoa kweli kwa mtindo huuNipo zangu geto, leo sjatoka, mvua kubwa sana na baridi kali, nikaamua nipike hivi, karibuni wanadauView attachment 1291431View attachment 1291432View attachment 1291433View attachment 1291434
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tunapika sana siku hizi hivi tutaoa kweli kwa mtindo huu