The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 777
- 1,590
Unanipa kazi ya kurefresh page nikisubiri pozi lako😅 usije kupita kama umeme😤Tulia hapo hapo napita naked 😹😹
Unanipa kazi ya kurefresh page nikisubiri pozi lako😅 usije kupita kama umeme😤Tulia hapo hapo napita naked 😹😹
🤣🤣🤣🙌Ankal 😍😍
JF mpk mapapaa na mapedeshee mupo..!!
Li ankal la mwaka wa mbele
Hii ni Maybach sio Toyota ya mjapani 🔥🔥
Maaunt mpoe hapa vitu zenu kabisaaa..!!
Ankal hana vipengele 😻
Humu jukwaani tunakuheshimu sana mkuu🙏. 🔥🔥🔥
Ankal Igweeeeeeeeeeee 🫡
Unasubiri nn mpk mshana leo kaselfika acha zakoMtumishi
😹😹😹 Sa si utulie una haraka ya wapi?Unanipa kazi ya kurefresh page nikisubiri pozi lako😅 usije kupita kama umeme😤
Haya wale mnopenda kutumia app sijui kudownload kazi kwenu🔥🔥
Kwahiyo umeamua kunichekesha mpk nipaliwe au sio😹😹😹 Sa si utulie una haraka ya wapi?
Nafanya zoezi kwanza la kubinua shepu okay?
Hapo maaunt kazi wanayo 😹🤣🤣🤣🙌
Sio mchezoHapo maaunt kazi wanayo 😹
HQ ya maokoto hiyo..!!
Patner in crime, mzee wa jurisprudence.. hebu tusifike kwenye congress za Philippines.. mwenyew naishia kufanya attestations tu! Hiyo delagated legislation tuwaachie wenye mamlaka🥴Delegata potestas non potest delegari😃
Beautiful onyinye wa wapi tena huyu 😍😍😍