Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,413
- 94,776
Min naomba saa 😍
Min naomba saa 😍
kumbe na wew umepitwa? pole yetu jamni,,, haya tupia ka kitu basi 🤗 na wenyewe wakija wakutane na vumbi😂Naona moto kila kona, wanataka kuuchoma uzi?
Nimeambulia patupu 😊
Nitakuchocha nikitaka kutuma usiwazekumbe na wew umepitwa? pole yetu jamni,,, haya tupia ka kitu basi 🤗 na wenyewe wakija wakutane na vumbi😂
Tupia kakitu basi tuburudike bibiekumbe na wew umepitwa? pole yetu jamni,,, haya tupia ka kitu basi 🤗 na wenyewe wakija wakutane na vumbi😂
unambie sas nisije nikakutana na vumbi mkuuNitakuchocha nikitaka kutuma usiwaze
yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi asee😢Tupia kakitu basi tuburudike bibie
Tupia wewe acha longolongo!yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi asee😢
kitambo sipo jukwaani,yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi asee😢
shemej angu kabisa.Tupia wewe acha longolongo!
ooh sawa,, ngoja nitupie marudio sasakitambo sipo jukwaani,
Leo hujatupia kabisa fanya kutubless one time 🔥
Sasa we hujui maskini Hana aibuDada'ake huchekagi na kima😅
Binti wa kinyarwanda.yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi asee😢
Ulikuwa wapi tumepita mno hii mitaa shem darling! fanya kunibless kabisa kabla sijaanza kuona giza giza😵shemej angu kabisa.
Ukipita nitag tafadhali.
we mwenyew umetupia kmy kmy hata kuniita hakuna,,😪Tupia wewe acha longolongo!
😹Gwa kimatraifa maninna
Nyie leo mnaniuaa kwa furahaaaaa aririririririiii
Mko mizuriii afu mitramu aiiiiiiiiiiiiiiiiih
Kwakweli kwenye swala zima la sasampa hunaga mzaha dada!😆Sasa we hujui maskini Hana aibu
mbona umeanza kuzua taharuki broo 😂😂😂😂 sema shamba gal na sio kinyaruBinti wa kinyarwanda.
salamu kwako
Mpaka napita nakuona kwa mbalii, ulienda kufungulia mbuzi au?we mwenyew umetupia kmy kmy hata kuniita hakuna,,😪
hapana ni kuku ndo wamenichelewesha kuja hukuMpaka napita nakuona kwa mbalii, ulienda kufungulia mbuzi au?