Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,851
Anajizima data 😹Wachaa wee, wee si umesema tuweke Giza kwa picha kuficha Details.
Anajizima data 😹Wachaa wee, wee si umesema tuweke Giza kwa picha kuficha Details.
Kama wewe plzHumu picha zangu nimeweka sana mwaka juzi, wote wananijua sina tako nimepigwa pasi, juu mnene chini mwembamba.
Kwanini unatupa mafumbo kuna shida gani?
Nipo karibu sana ulipo lamamaYeaaahh 😻
Ulipotelea wapi wewe?
Kitambo pande hizi J
Ficha location tu. Mengi unajiachia tu mrembo😅Wachaa wee, wee si umesema tuweke Giza kwa picha kuficha Details.
Hakunaaaa ushindweeTumuache hiyo kwiyoo 😹😹
Usikute akawa shem shem
Njia za Mungu hazichunguziki..!! 😹
Huyo mtoto ni mkaree ana rangi ya mtume inawaka mpk kwenye wallet yako..!!Kumbe huyu bi dada yupo hot. Ngoja nisubirie tabasamu lake atakalo nionyesha hapo baadae kidogo😤
Wapi huko?Nipo karibu sana ulipo lamama
Huwezi kupinga namna hii 😹Hakunaaaa ushindwee
Sitaamini mpaka pale nitakapo muona . Ngoja nisubirie atume😤Huyo mtoto ni mkaree ana rangi ya mtume inawaka mpk kwenye wallet yako..!!
Ukiwa naye pesa huhitaji kuumiza kichwa.
Huyo mtoto Engineer anasanifu majengo mpk maisha yako oohh..!!
Niache niko na buni biashara ya kufanya😅Huwezi kupinga namna hii 😹
Locs unafichaje sasa hapo? 😂😂😂Ficha location tu. Mengi unajiachia tu mrembo😅
Selfika basi tuendelee na mambo mengineSitaamini mpaka pale nitakapo muona . Ngoja nisubirie atume😤
😂😂😂 huogopiii?Mashallah Mashallah 🥰
Jamani wakaka wazuri wote waje kwangu maana ufalme wa Lamomy ni wao 😹😹
Weka gentleman 🔥🔥
Una mtaji wa shingapi?Niache niko na buni biashara ya kufanya😅
Unachotwaa, ogopa matapeliiii, 😂😂😂Kumbe huyu bi dada yupo hot. Ngoja nisubirie tabasamu lake atakalo nionyesha hapo baadae kidogo😤
Kuna liteni linazagaa zagaa hapa aiseeUna mtaji wa shingapi?
Mimi nataka kufungua kituo cha polisi 😹
Mbona mie sijawahi kukuonaa hataaa?Mimi nilishapita ka majuzi hivi. Na nimeahidi kupita Tena safari hii ni live😤. Wewe sikuwahi hata kukuona. Tuma Leo kwa ajili yangu ukiwa live...
Yaani, 😂😂😂Anajizima data 😹
😹😹😹 Mimi nawasifia naambiwa nawataka nacheka sana..!!😂😂😂 huogopiii?
😂😂😂 najua kusanifu Urungu tuu, hata Ngariba hanikutiii.Huyo mtoto ni mkaree ana rangi ya mtume inawaka mpk kwenye wallet yako..!!
Ukiwa naye pesa huhitaji kuumiza kichwa.
Huyo mtoto Engineer anasanifu majengo mpk maisha yako oohh..!!