cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,877
- 192,216
Ulikua nazo toka utotoni ila hazikua zinaonekana,Ujue Wala sikuzaliwa na dimples,ukubwani zimenipata aisee,kwenye family yetu kuanzia mama sote tunazo😁
Ila kidoti ni km sunzua eeh? Kuna mtu kimemuota ukubwani ila yeye chini mdomo hapendii, anasema kimekaa pabayaa.
😂😂😂