Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,835
- 96,086
Mikaka ya mwaka wa mbele tupuu 😍Na mazuri haswaa mianaume ya JF.
😂😂😂
Mikaka ya mwaka wa mbele tupuu 😍Na mazuri haswaa mianaume ya JF.
😂😂😂
Ah basi yameisha tufanye Siri🙏Nikutajie mpaka unapokaa Au😅
Msukume pembeni adondoke njoo kwangu 😹😹Subiri alale, nakuja 🤣
Nimependa dental form, na meno yake meupee,Huyu kaka anafanana na David Beckam 😍
Hivi JF ndio wakaka walivyo hivi.
Haswaaa!! Makaka mazuri yako JF. alooo.Mikaka ya mwaka wa mbele tupuu 😍
😹😹😹 Haya nimekuachia uduguu..!!😂😂😂 huyu niachie mie uduguu.
Tusifikie huko mpende mwenzio..Msukume pembeni adondoje njoo kwangu 😹😹
Weka nyingine basi 😻Ah mnanichosha nyie . Mwenzenu nina usingizi nachoka kutype
Wapiii? Acha kumtisha bhanaa? Tabata 1 hiyoo.Nikutajie mpaka unapokaa Au😅
Huyu ni vitu vyangu kabisaa, 😂😂😂😹😹😹 Haya nimekuachia uduguu..!!
Mwambie aseme suu 😅Wapiii? Acha kumtisha bhanaa? Tabata 1 hiyoo.
😂😂😂
😹😹😹 Kiss is kissingNimependa dental form, na meno yake meupee,
Huyu denda unalamba hadi meno, 😂😂😂
Mno 😹Haswaaa!! Makaka mazuri yako JF. alooo.
Em sema, acha kumtisha mwenzio bhanaMwambie aseme suu 😅
😂😂😂 inakeraa hatarii. Mtu anuke mdomo, afu atake French kiss.😹😹😹 Kiss is kissing
Mwanaume msafi anavutia sana..!!
Sio mtu mdomo unanuka bado Frenchkiss anakujaza mate kibao mdomoni..!!
Mi simtaki nataka niwe peke yangu 😹Tusifikie huko mpende mwenzio..
Huyu akilala kifuani dk 10 nyingi, unaweza mbeba na kwenda kumlaza hata chini na asijue..
Dk zake 3 tu hapa atakuwa kaishalala
Siwezi kusema sio sawaEm sema, acha kumtisha mwenzio bhana
😂😂😂
😹😹😹 Hapo huchomoki..!!Huyu ni vitu vyangu kabisaa, 😂😂😂
😂😂😂Siwezi kusema sio sawa
Mie kwangu Kulia ni kulia tu, vyote kunoga, akinogewa neno litamtoka tu na kinachokuja ndio masikio yangu yanapokea kama burudaniMi simtaki nataka niwe peke yangu 😹
Hivi maka kwenye mapenzi huwa unapenda mwanamke akilia kwa kinge au kimatumbi? 😹
Hili swali kuna sehemu nililikuta nikasema nitamuuliza kungwi dume..!!
Tiririika