Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,391
- 94,713
Kumekuchaaa 😹😹Hii ndio inaitwa kujipa umuhimu sehemu ambayo muhimu huo huna sorry bro sija selfika kwa ajili yako
Kumekuchaaa 😹😹Hii ndio inaitwa kujipa umuhimu sehemu ambayo muhimu huo huna sorry bro sija selfika kwa ajili yako
Sitakii unasemaje?Ndio tumekuona. Ni muda sasa wa kutuma nyingine ukiwa live no naked no emoj. Just you and your little smile
Bill kwake huwezi kuwa mzuri hivi halafu bill ujilipie..!! 😹Heh binti una nini weye akhaa
Tuma nyingine kwa ajili yangu. Kama hutojali. Nakuhitaji ukiwa upo clearly with your little smileHii ndio inaitwa kujipa umuhimu sehemu ambayo muhimu huo huna sorry bro sija selfika kwa ajili yako
Niache bhna aibu yangu sio ya kudumu nikitibuliwa nyongo😅😅Watoto wakaree lazima muwe na aibu 🥰🥰
Shenziii zakooBill kwake huwezi kuwa mzuri hivi halafu bill ujilipie..!! 😹
Yani wewe king’ang’a 😹😹Tuma nyingine kwa ajili yangu. Kama hutojali. Nakuhitaji ukiwa upo clearly with your little smile
Situmi hata we fanya michongo mingineTuma nyingine kwa ajili yangu. Kama hutojali. Nakuhitaji ukiwa upo clearly with your little smile
Haya. Ngoja nami niwasubiri wengineSitakii unasemaje?
La mama😹😹😹
Wala hupendezei u Asha ngedere na hiyo baby face..!! 😹Niache bhna aibu yangu sio ya kudumu nikitibuliwa nyongo😅😅
Wa kumng'ang'ania mwenyewe mimi au😅😅Yani wewe king’ang’a 😹😹
Niliahidi kutuma. Soon inakuja 😤Yako isiyo na emoji iko wapi? 😹
Nitalazimisha hivyo hivyoWala hupendezei u Asha ngedere na hiyo baby face..!! 😹
Yeaaahh 😻La mama
AsalamalekooHaya. Ngoja nami niwasubiri wengine
😹😹😹 Em selfika kijana roho yake ipone..!!Wa kumng'ang'ania mwenyewe mimi au😅😅
Tuma kiongozi, usimame sasa sio km ile ya siku ile nikakwambia uinuke ukagoma..!!Niliahidi kutuma. Soon inakuja 😤
Akhaa hebu niachwee nipumue😹😹😹 Em selfika kijana roho yake ipone..!!
Sura inakusaliti mahi huoni unakimbiza baraka? 😹Nitalazimisha hivyo hivyo