Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,393
- 94,707
Tuma kijana aone uumbaji 😹😹Akhaa hebu niachwee nipumue
Hamuachiiiiiii😀
Tuma kijana aone uumbaji 😹😹Akhaa hebu niachwee nipumue
Hamuachiiiiiii😀
Jesus Jesus 😅🙌Ulikalia kona ipi 😹
Usiku huu watu wanatengeneza sura, halafu hiyo scrub sio makeup..!!
Em tutolee ushamba wako 😹
Wewe sema unataka picha ya murembo ulale bila stress..!!
Wee muongo tuu, 😂😂😂Coca niwekee kapicha kengine kale ka jana kamenifanya nilale km katoto 🥰
Baasi naachaSura inakusaliti mahi huoni unakimbiza baraka? 😹
Achana nae huyoTuma kijana aone uumbaji 😹😹
😹😹 Mnawafanya watu mioyo iende mbio.!!Jesus Jesus 😅🙌
Subirii baadae kdg. 😂😂😂Sitolala mpaka nawe nikuone😤
Hivi kuna mtu kawahi ku selfika kisha ambiwe mbaya humu mie naona kila mtu mzurii😅😅😹😹 Mnawafanya watu mioyo iende mbio.!!
Kweli udugu ulizomea vizuri mpk watu sukari ikapanda 😹Wee muongo tuu, 😂😂😂
Yeah Tena inakuja ikiwa na six pack full sun glasses 😤. Si ndio mambo unayoyapenda hayo mrembo?😅Tuma kiongozi, usimame sasa sio km ile ya siku ile nikakwambia uinuke ukagoma..!!
😂😂😂 ila uduguu jamanii, wee ni mkaree.Kweli udugu ulizomea vizuri mpk watu sukari ikapanda 😹
Na kale kababy face mix rangi ya mtume na white tshirt awwww 😍😍😍
Ulikuwa hot 🔥
Uache ndioBaasi naacha
Ni matumaini yangu utakuja live bila naked bila emoji. Just you and your little smile 😤Subirii baadae kdg. 😂😂😂
Nasubirii hapa nikuonee leo, 😂😂😂Yeah Tena inakuja ikiwa na six pack full sun glasses 😤. Si ndio mambo unayoyapenda hayo mrembo?😅
Tumuache hiyo kwiyoo 😹😹Achana nae huyo
Wachaa wee, wee si umesema tuweke Giza kwa picha kuficha Details.Ni matumaini yangu utakuja live bila naked bila emoji. Just you and your little smile 😤
Kumbe huyu bi dada yupo hot. Ngoja nisubirie tabasamu lake atakalo nionyesha hapo baadae kidogo😤Kweli udugu ulizomea vizuri mpk watu sukari ikapanda 😹
Na kale kababy face mix rangi ya mtume na white tshirt awwww 😍😍😍
Ulikuwa hot 🔥
😹😹😹 Ndio, mimi hapa..!!Hivi kuna mtu kawahi ku selfika kisha ambiwe mbaya humu mie naona kila mtu mzurii😅😅
Mimi nilishapita ka majuzi hivi. Na nimeahidi kupita Tena safari hii ni live😤. Wewe sikuwahi hata kukuona. Tuma Leo kwa ajili yangu ukiwa live...Nasubirii hapa nikuonee leo, 😂😂😂
Mashallah Mashallah 🥰Yeah Tena inakuja ikiwa na six pack full sun glasses 😤. Si ndio mambo unayoyapenda hayo mrembo?😅