Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Wewe unaamini ni mjukuu wake kweli? 😹😹Ndio kusema ni katoto kake🫣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Wewe unaamini ni mjukuu wake kweli? 😹😹Ndio kusema ni katoto kake🫣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nimeona tayari kipenziBinti nafutaaaa
Saa tisa hii ushalewa 😂 kuna huyo mkaka anayecheka cheka kwenye reply zako, yuko njema 🔥Kama Kuna mkaka wa haja anayeeleweka namuomba chocho, hawa wadada wapite tu, apa tu nishalewa kimbwa nikikaa humu ntalimana bkock na wapumbavu bure!
Hebu njoo kwanza cheusi mangala mwenzetu🤭
Hebu naomba receipt kwanza nisije jichanganya maana 🤭Saa tisa hii ushalewa 😂 kuna huyo mkaka anayecheka cheka kwenye reply zako, yuko njema 🔥
View attachment 3602279
Yani wewe ndo wale ukifanya kosa wakitaka kukuadhibu sura inawajibu tofauti..!! 😹😹Aloo sijui why naambiwa sifanani na maneno yangu 😂😂
Sasa ukisikia sauti utacheka hoii🤣🤣.
Mdomo wangu ni hapa nyuma ya keyboard live hamna kitu
Unajua kusifia wewe lolNimeona aisee uko 🔥
Binti mrembo kasura ka upole
Siamini hata kwa dawaWewe unaamini ni mjukuu wake kweli? 😹😹
Sauti sisubutuuuu weee😁😁Yani wewe ndo wale ukifanya kosa wakitaka kukuadhibu sura inawajibu tofauti..!! 😹😹
Weka na sauti nione sauti ya kumtoa nyoka pangoni..!!
1 Kati ya watu wachache mnooooo, niliowahi kutamani kuwaona live 😂🤣Madame jau sana 😹😹
Anatumia dildo ofisini na hajali wala nenee..!!
Naonekana naonewaa😀😀Yani wewe ndo wale ukifanya kosa wakitaka kukuadhibu sura inawajibu tofauti..!! 😹😹
Acha basiii weeeWeka na sauti nione sauti ya kumtoa nyoka pangoni..!!
Mie najifurahia mno hivi nilivyo, na ba mjengo ananipa confidence dunia nzima hakuna 😂 ingekua siyo kuogopa hizi ajira za utumishi, hii sura yangu personal pia ningewamwagia hapa mnijadili 😹😹😹😹😹 Uduguu wangu mzoee tu!
Wewe sio mweusi una rangi ya chenza bhana..!!
Mdogo wangu aliwahi kuzaa, mtoto wake naye kafikisha miaka 19 kazalisha, sasa tumekua mabibi.Huyo mjukuu wako wapi mfyuuu..!!
Unatufanya watoto sasa..!! Kwa uzee gani ulionao? 😹
Mi nasifia vya ukweli 😹Unajua kusifia wewe lol
mie na bia ni paka na panya, starehe yangu ni mbunye tuu mwanawane kama king solomon
Nakuja usijali 😹
Natafuta njia ya pm siioni..!!
Watu wame selfika usiku wa manane, sio hakiWewe unatokea sherehe imeisha watu ndiyo tunakunja matent tuondoke, umechelewa leo watu kibao wameselfika humu.
Kuna wadada na wakaka 🔥 🙌🏽 acha tu!
Ni mtoto wake hiyo ujukuu katupanga 😹Siamini hata kwa dawa
Weka bhana.!! Mbona mi nna base naliwekaga humu 😹😹Sauti sisubutuuuu weee😁😁
Hata mimi nampenda sana 😹😹1 Kati ya watu wachache mnooooo, niliowahi kutamani kuwaona live 😂🤣
Weka bhasi mahi 😻Naonekana naonewaa😀😀
Acha basiii weee
Au ni selfike tena sifa zako zimenikoleaMi nasifia vya ukweli 😹