Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,156
- 92,637
Mambo ya uso achana nayo kwanzašMsupuu kabisaa sema ilo bango usoni kubwa sana, limemaliza utam wote
Mambo ya uso achana nayo kwanzašMsupuu kabisaa sema ilo bango usoni kubwa sana, limemaliza utam wote
Mdada mzuriMambo yq uso achqna nayo kwanzaš
Hakuna nzi.Mtaa wa kishua
Nina presha ujue š¤Tuwatoe hofu kwambaā¦!
Umeanza umbea wako!Mdada mzuri
Mali safi kabisaUmeanza umbea wako!
Tutakutibu mzee tuliaNina presha ujue š¤
We shakuzoea unajazaga kila mtu bichwa basi..Mali safi kabisa
Sawa sawaHakuna nzi.
š¶šæš¶šæš¶šæš¶šæš¶šæš¶šæMambo ya uso achana nayo kwanzaš
Kama mtu mzuri mwambieWe shakuzoea unajazaga kila mtu bichwa basi..
SawaSawa sawa
SawaSawa sawa
š šHahhaa hebu mzee unanichanganya hapa tu nshachanya mambo!
Wabheja sana!Kama mtu mzuri mwambie
Hahhahaa na wajomba ndio kina nyie, kazi ipoš¤£š¤£š š
Kwa hiyo picha niliyoona hapo juu, una haki ya kukataa ng'ombe 20 zilizotolewa na Mzee Maganzo kama magari š¤šš
Una macho mazuriView attachment 3603126sister mawardat umeona kitenge
Looh,huyu ni mdokozi aisee,Nimepata dada wa nyumbani, changamoto yake akiwa jikoni muda wote mdomo unatafuna.
Nikawa nampotezea naona anaonja kawaida ila juzi naenda jikoni namkuta kitimoto kaweka kwenye nyanya tayari, ametenga vipande vi3 pembeni vya kutafuna na muda huo mdomo una nyama.
Hapa anakaanga chips, hii awamu ya 3 kila akitoa na yeye anachota anakula
Ukiwa sebleni unaona jikoni ndo maana namuona.
Hii ni kawaida kwa wote auš¤
AhsanteUna macho mazuri
Kwa yale yaliyomo niliyoyaona, bila ng'ombe 100 haturuhusu wakuchukue mjukuuHahhahaa na wajomba ndio kina nyie, kazi ipoš¤£š¤£
Nawaza jinsi ya kumwambia mpaka sasa nimepiga kimya kama chakula kinawekwa mezani aliye karibu anajichotea sahani anajaza na yeye ndo anapiga msosi mwingi kuzidi sisi sasa sielewi shida yake ni niniLooh,huyu ni mdokozi aisee,