win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,851
- 30,013
sijakujaza dada,, nimekupa maua ya ukweli 👌😊Acha kunijaza basi mdogo wangu,, Asante kwa misifa
sijakujaza dada,, nimekupa maua ya ukweli 👌😊Acha kunijaza basi mdogo wangu,, Asante kwa misifa
nambie kiongoziMkuu.
Kwema apo.nambie kiongozi
AsanteUnazeeka na uzuri wako
kwema kabisaa vipi pande hizoKwema apo.
Apa safi mkuu.kwema kabisaa vipi pande hizo
Acha kunipanga basiPisi kali ya kwenda na ndege kabisa hii ❤️
ushatoka kwenye ibada?Apa safi mkuu.
Asante kipenzisijakujaza dada,, nimekupa maua ya ukweli 👌😊
Rangi kweli ya kipare! Unang'aa kama andazi
Umejipost wewe ila naogopa mimi🥹Mambo gani hayo sifananii nayo?
Mbona kama nakujua dogo🤣
UgomviMambo gani hayo sifananii nayo?
Unafanya wapare tuonekane hatuna akili ujue 🤣🤣🤣Em nipe hiyo info maybe n kweli unanijua
Kweli dadaake🤣Sijawahi kukuona eti???
Jana nilitupia ila hukunibamba, kesho nakuitaSijawahi kukuona eti???
Ulichelewa nilikua nishahama kiwanja sinza moyaaa🤣🤣🤣Ukinambiaga nije mabibo, nikafika then hukupokea simu yangu 😭
Umezipost vibaya hata ukifuta mtu anaview kwenye reply ya mtu😂Duh ushajua hadi location, bc ngoja nifute kweli aisee.
Ila hta hvy sina picha nying na ambazo nnazo n za kazini ndo mana imekuwa rahisi kwako kujua hilo.
Duh 🤣🤣🤣🤣Single maza kina mama nyunyia wana umoja wao wa kuteta Ila walivyo hawapendani hawaambiani ukweli kwamba mwenzangu hiyo bra mikanda mibovu 😹😹😹
Usiniambie kuna namna ht ukifuta bado mtu anaona kwenye replay??Umezipost vibaya hata ukifuta mtu anaview kwenye reply ya mtu😂
Nishajua hadi unapofanyia kazi kudadeq