Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Unatusubiri tuondokeNgoja nipite kabla hawajawa wengi😁
Unatusubiri tuondokeNgoja nipite kabla hawajawa wengi😁
Kwani kuna ubaya mkija wote kunitembelea babu yenu 🤪Mzee mwenyewe wewe unataka kila mjukuu akuletee kiko utakufa vibaya nakuhurumia😎😏
Jishikilie mzee usituchanganye kama ngano ebooKwani kuna ubaya mkija wote kunitembelea babu yenu 🤪
Kumbuka menu uliyoniagiza kuitumia, imeshaanza kufanya kazi 🤗
Wewe sasa unafeli 😁Unatusubiri tuondoke
Sawa basi wacha tuorganize tuje wote ili usisumbue mmoja mmoja!Kwani kuna ubaya mkija wote kunitembelea babu yenu 🤪
Kumbuka menu uliyoniagiza kuitumia, imeshaanza kufanya kazi 🤗
Irudiwe banaWewe sasa unafeli 😁
UmesemaSawa basi wacha tuorganize tuje wote ili usisumbue mmoja mmoja!
Irudiwe bana
NdioUmesema
Wanasema hawawezi kazi ya kuamsha kitu hakiamki hata ukianza kuimba na maiki masaa 5 🤪Wajukuu hawajakuoneaga tu huruma mpaka leo mzee😁
Anajizima dataNdio
Tuwatoe hofu kwamba…!Wanasema hawawezi kazi ya kuamsha kitu hakiamki hata ukianza kuimba na maiki masaa 5 🤪
Ukitulia nambie
Koh koh 🤭Sawa basi wacha tuorganize tuje wote ili usisumbue mmoja mmoja!
Nikoa hapa nimetulia tuliUkitulia nambie
Roho mbaya tu 😅Umesema
Msupuu kabisaa sema ilo bango usoni kubwa sana, limemaliza utam woteKama vile kuna cha maana sasa
Hahhaa hebu mzee unanichanganya hapa tu nshachanya mambo!Koh koh 🤭
Maji matamu ya kisima ni yale unaingiza kata yako mwenyewe, kata zikiwa nyingi kwa pamoja kuna dalili kisima kikakausha maji 🤪🏃🏃
😅😅 nipe kwanza 10k niagize bia nione kama nitaacha roho mbayaRoho mbaya tu 😅