Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Tunashukuru ametusanuaBro wataacha kuselfika 🙌🏾 inatosha
Hatutarudia
Tunashukuru ametusanuaBro wataacha kuselfika 🙌🏾 inatosha
Kuna picha flan wewe ulikua unaziweka selfika nikafanya hivo nikakuta ni mmama flani wa kisouth AfricaKumbe una tabia kama yangu ya kwenda kugoogole lens! 😂
Jana nikalens picha za seran alizonitumia nikaambulia manyoya🤣
Jf weka picha ambayo hujawahi kuiweka kwenye mitandao mingine tofauti na hapo tutakujua
Nashukuru sana kwa taarifaKuna kipindi nilipost picha humu nikaambiwa Hizo picha sio zangu 😂 eh kumbe kuna watu wana taarifa zangu ambazo Mm mhusika sina 😂
Ila mm nadhani jinsi unavyokuwa serious sana humu, ndivyo utakavyozidi kuumizwa kichwa na watu wa humu.
Kuna mtu humu alipost picha, hiyo picha nikaifanyia Google lens nikakutana Na picha zake kibao Instagram, sasa nikajiuliza Ipi sababu ya kuficha sura humu afu hapo hapo insta zipo kibao 😂
Kumekucha 😁Kuna picha flan wewe ulikua unaziweka selfika nikafanya hivo nikakuta ni mmama flani wa kisouth Africa
Ndio maana yangu hiyo!Incase ukiwa huna picha yoyote huko mitandaoni ndo haitokupata
Tobaaaah!! Nimepitwaa tenaaa? Fanya kurudia mahi.
Na ukiacwa njoo nina wadogo zangu wawili wa 2001 kwenda juu watakufaa kweli🫣Ushasema
Nani apinge 🤣🤝🤣
🤣Juzi kati nikataka kuzichukua Ig ila nimesahau username yakeKuna picha flan wewe ulikua unaziweka selfika nikafanya hivo nikakuta ni mmama flani wa kisouth Africa
Ilikua ukiweka mi naenda kule naangalia umescreenshoot ipi, na yule mama hakua mchoyo alikua anaupload za kwake za bwanaake za mtoto wake.🤣Juzi kati nikataka kuzichukua Ig ila nimesahau username yake
Aaah ulikua mbele ya muda!😂 Akikaa sebleni anapost, akiwa jikoni anapost hana bayaIlikua ukiweka mi naenda kule naangalia umescreenshoot ipi, na yule mama hakua mchoyo alikua anaupload za kwake za bwanaake za mtoto wake.
Sema siku hizi nimeacha kufuatilia sana picha, na kuunganisha dots ila wengi waliojoin zamani walikua open sana ukiwa serious kidogo unapata kurasa zao za Insta. Nliwafollow baadhi siku hizi naona wameswitch account zao kua private.Aaah ulikua mbele ya muda!😂 Akikaa sebleni anapost, akiwa jikoni anapost hana baya
mpaji nitamsaidia kuona🤣🤣Mpaji Mungu & Intelligent businessman napita msiseme sijawaita
😅😅nimeshapitampaji nitamsaidia kuona🤣🤣
yeah,nimekuona nimependa rangi ya nguo yako🔥😅😅😅nimeshapita
hauko serious ephen🤣Juzi kati nikataka kuzichukua Ig ila nimesahau username yake
Asante sana 😂😅yeah,nimekuona nimependa rangi ya nguo yako🔥😅
naomba risiti, na hujapita leo muremboz..yeah,nimekuona nimependa rangi ya nguo yako🔥😅
haya pita ya mwisho nione fashion ya kichoo kibode sijui t shirt sijaona vizuri jamni😊Asante sana 😂😅
risiti hamna jamni ilikua ni gafla kama kimbunga😅😅naomba risiti, na hujapita leo muremboz..